Ziara ya mkandamizaji na Shilole VOA
Kutoka kushoto Mary Mgawe,Khadija Riyami,Shilole,Sunday Shomari,Mkuu wa idhaa Mwamoyo Hamza, Ilya,Massanja na Raymond Maro. Wakiwa na balozi wa Vijana Raymond Maro. "Shilolist" Shilole akiwa balozi...
View Articleujenzi wa tanki la maji shule ya msingi Maulu wilayani Makete upo mbioni...
Ujenzi wa tanki la kuhifadhia maji linalojengwa katika shule ya msingi Maulu kata ya Kipagalo wilayani Makete ukiendelea kwa kasi kubwa, kutokana na shule hiyo kukumbwa na uhaba wa maji hasa wakati wa...
View ArticleMKUU WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI AMKABIDHI MKUU WA MKOA WA DODOMA MIZINGA 85...
Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Minja akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk Rehema Nchimbi (kushoto) katika hafla maalumu ya makabidhiano ya mizinga ya nyuki 85...
View ArticleMSTAHIKI MEYA JERRY SILAA AKUTANA NA MKURUGENZI WA MASOKO NA MAUZO WA...
Muonekano wa Banda la MeTL Group lililopo kwenye maonyesho ya 37 kimataifa ya Biashara yanayoendelea katika uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam.Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala...
View ArticleWAZIRI WA MAJI AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA BODI ZA MAJI ZA MABONDE JIJINI MBEYA
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe (katikati) akiwa pamoja na baadhi ya wageni wa meza kuu wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa tano wa mwaka wa Bodi za Maji za Mabonde leo jijini Mbeya. Kulia kwa...
View ArticleKUNDI JIPYA LA MUZIKI LAJA JIJINI, KUJULIKANA KWA JINA LA NDEGE WATATU.
Kutoka kushoto ni Paulyne Zongo, Khadija Mnoga (Kimobitel) na Joan Matovolwa. Wanamuziki hao watatu na wakongwe nchini ndio wanaounda kundi hilo litakalojulikana kwa jina laNDEGE 3. Kundi la Ndege 3...
View ArticleWAZIRI NCHIMBI ABADILISHANA MAWAZO NA VIONGOZI WA DINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi (katikati) akizungumza jambo na na baadhi ya viongozi wa madhehebu ya dini Mkoa wa Dar es Salaam walipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es...
View ArticleJAJI WARIOBA KUKUTANA NA WANAHABARI KESHO
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, atakutana na Wanahabari kesho, Ijumaa, Julai 5, 2013, kuanzia saa 4:00 asubuhi, katika Ukumbi wa Mikutano wa Tume uliopo katika Ofisi za...
View ArticleNgalawa,msaada mkubwa wa usafiri wa mizigo na abiria ndani ya ziwa victoria
Sehemu ya Ziwa Victoria ikioneakana mapema leo kutoka eneo la Soko la Samaki Kirumba Mwaloni,ndani ya Manispaa ya Ilemela. Ngalawa ikiwa imesheheni mizigo ikitokea visiwani ikielekea kutia nanga...
View ArticleTAYOA YANG'AAAA AFRIKA MASHARIKI
Balozi mstaafu Charles Sanga (kulia), ambaye ni Mwenyekiti wa asasi ya vijana ya Tayoa akiwaongoza wafanyakazi wa asasi hiyo kufurahia tuzo tatu walizopata mjini Nairobi nchini Kenya wakati wa...
View ArticleVIWANJA VILIVYOPIMWA VYA UKUBWA MBALIMBALI VINAUZWA.
VIWANJA VILIVYOPIMWA VINAUZWA VYA UKUBWA MBALIMBALI.VIPO VIKAWE HALMASHAURI YA MJI WA KIBAHA,NI KARIBU ZAIDI KUPITIA BARABARA YA BAGAMOYO,SHUKA NJIA PANDA YA VIKAWE/BAO BABU SEKONDARI,NI KILOMETA 9...
View ArticleRAIS KIKWETE ALIPOTEMBELEA MAONYESHO YA BIASHARA YA SABASABA
Rais Jakaya Kikwete (aliyenyoosha mkono) akitembelea Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J. K Nyerere jijini Dares Salaam.kushoto kwake ni Waziri wa...
View ArticlePROMOSHENI YA LIPA KWA M PESA SABASABA YAIBUA WASHINDI WATANO
Afisa wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini,Bw.Bakari Maggid akiweka karatasi zenye majina ya washiriki wa Promosheni ya lipa kwa M pesa na Ushinde ukiwa Sabasaba na kujishindia zawadi ya shilingi...
View Articlesoko la samaki kirumba mwaloni jijini Mwanza
Sehemu ya Magunia ya Dagaa yakiwa yamepangwa vyema ndani ya soko hilo tayari kwa kusafirishwa sehemu mbalimbali kwa matumizi ya binadamu na mifugo. Dagaa 'wachafu' wakiwa wameanikwa chini kwa ajili ya...
View ArticleHARUSI FASHION SHOW JULY 6, 2013
The fourth edition of the Tanzania first and premier wedding show preparation are all under way slated to be held this year on 6th July at Hyatt Kilimanjaro filled with the very best of wedding...
View ArticleDkt Shein aagana na mabalozi wapya
Rais wa Zanzibarna Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na mabalozi Wapya wa Tanzania walioteuliwa hivi karibuni kwenda kufanya kazi Nchi za Nje,walipofika kumuaga Rais...
View Articlekampeni ya upasuaji wa mtoto wa jicho yafanyika kwa siku mbili mkoani iringa
ZAIDI ya watu 200 wamefanyiwa upasuaji wa mtoto wa jicho bila malipo yoyote katika mkoa wa Iringa wakati wa kampeni ya upasuaji wa macho iliyofanyika kwa siku mbili mkoani hapa.Wagonjwa hao wenye...
View ArticlePINDA ATUA IRINGA KUUNGANA NA WAKAZI WA NDULI KUOMBOLEZA MSIBA WA DIWANI...
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu wa pili kulia akitoa akiitambulisha familia ya marehemu diwani Idd Chonanga aliyekuwa diwani wa kata ya Nduli aliyefariki dunia jana Mtoto...
View ArticleNAIBUI WAZIRI WA FEDHA ASIFU HUDUMA ZA NSSF
Naibu Waziri wa Fedha, Janet Mbene akiweka sahihi katika kitabu cha wageni alipotembelea banda la NSSF. Kulia ni Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Katavi, Anna Lupembe.Naibu Waziri wa Fedha akipata maelezo ya...
View Article