Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 118129

RAIS KIKWETE ALIPOTEMBELEA MAONYESHO YA BIASHARA YA SABASABA

Image may be NSFW.
Clik here to view.
IMG_8550
Rais Jakaya Kikwete (aliyenyoosha mkono) akitembelea  Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa  yanayoendelea katika viwanja  vya  Mwalimu  J. K Nyerere  jijini  Dares Salaam.kushoto kwake ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dk. Abdallah Kigoda. 
Image may be NSFW.
Clik here to view.
IMG_8637
 
Image may be NSFW.
Clik here to view.
IMG_8571
Rais   Jakaya   Kikwete  akipata maelezo kutoka kwa n Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo  na Makazi(UNHABITANT) Phillemon  Mutashubirwa  kuhusu wanavyofanya kazi ya kusaidia watoto wa shule  na  wanawake kwenye Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa  yanayoendelea katika viwanja  vya Mwalimu  J. K Nyerere  jijini  Dares Salaam.
 Image may be NSFW.
Clik here to view.
IMG_8636
Rais Jakaya  Kikwete (kulia)  akiangalia  mafuta ya ubuyu  na bidhaa zingine kwenye banda la  Mfuko wa Fursa Sawa Kwa wote(EOTF) kwenye Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa  yanayoendelea katika viwanja  vya  Mwalimu  J. K Nyerere  jijini  Dares Salaam .Kutoka (kushoto)  wa pili ni Mwenyekiti wa EOTF Mama Anna Mkapa  (kushoto) ni Mkurugenzi  Mtendaji wa Stephen Emmanuel.
 


BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Viewing all articles
Browse latest Browse all 118129

Trending Articles