TUNISIA YARIDHIA TAMKO KURUHUSU WATU BINAFSI KUPELEKA KESI ZAO MOJA KWA MOJA...
Tunisia imesema Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) ni lazima itangazwe kwa nguvu zote ili kuwawezesha wananchi barani Afrika kufahamu uwepo wake,malengo ya kuanzishwa kwake pamoja...
View ArticleTAASISI ya Tiba ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) YAPIMA MOYO WA MTOTO ALIYE...
Na Veronica Romwald, Dar es SalaamTAASISI ya Tiba ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa mara nyingine tena imefanya upimaji wa moyo wa mtoto aliye tumboni mwa mama yake, kuchunguza magonjwa mbalimbali...
View ArticleSIMBA WAJA JUU, WADAI WAMECHOKA KUONEWA NA TFF
Ofisa habari wa Simba Hajji Manara akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji kukaa na kupitia hukumu ya kupokwa alama tatu kwa timu ya Kagera Sugar...
View ArticleUHAMIAJI YAZINDUA MFUMO WA KUHAKIKI VIBALI VYA UKAAZI KI - ELEKTRONIKI
Frank Mvungi-Maelezo.Serikali imezindua mfumo wa Kielektroniki wa Uhakiki wa Vibali vya ukazi “e-verification” hapa nchini ili kuongeza tija na kudhibiti upotevu wa mapato. Kauli hiyo imetolewa Jijini...
View ArticleVodacom yaongeza muda wa kuuza hisa
Akiongea jijini Dar es Salaam mapema leo, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia amesema “Vodacom Tanzania PLC inatarajia kupokea maombi mengi ya kununua hisa...
View ArticleTAASISI YA VICTORIA YAZINDULIWA NA KUTOA MAFUNZO KWA WAJANE
Mafunzo hayo yalitolewa kwa lengo la kupunguza pengo la elimu ya masuala ya fedha kwa wanawake hao kwa kuwafundisha mbinu mbali mbali za biashara, namna ya kuweka akiba na kulipa mikipo.Akizungumza...
View ArticleWAKURUGENZI WA HALMASHAURI WATAKAOSHINDWA KUSIMAMIA AFYA YA MAMA NA MTOTO...
Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii.Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Afya imesema itawashughulikia wakurugenzi wote wa halmashauri ambao wataonekana kuwa chanzo cha ukosefu...
View ArticlePROF. MUHONGO AZINDUA BODI YA REA
Na Veronica Simba – Dodoma.Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo, amezindua Bodi mpya ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na kuiagiza kufanya kazi kwa kutanguliza maslahi ya Taifa na...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA APOKEA TAARIFA YA KAMATI YA MGOGORO WA LOLIONDO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo Taarifa ya Kamati Shirikishi (Teule) ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha ya kushughulikia mgogoro wa matumizi ya ardhi kwenye...
View ArticleMTOTO AKRAM MBAROUK AMEPOTEA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE
Mtoto Arkam Salim Mbarouk (anayeonekana kwenye picha) mwenye umri wa miaka 12 amepotea tokea tarehe 19 April, 2017 mida ya jioni (alasiri) wakati anakwenda madrasa (maeneo ya Makongo Juu) na...
View ArticleZURICH GROUP, JUBILEE INSURANCEWAZINDUA BIMA MPYA YA GHARAMA NAFUU 'AFYA WOTE
Kaimu Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wzee na Watoto, Edward Mbanga (Wa pili Kulia) akipokea Tisheti kutoka kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Zurich Group, Sudi...
View ArticleBANDA RUKSA KUICHEZEA SIMBA MECHI ZILIZOBAKI
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiHatimaye kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imekaa leo na kumsikiliza beki wa Simba Abdi Banda aliyesimamishwa na kamati ya saa 72 baada ya klabu ya...
View ArticleWACHUNGAJI ZAIDI YA 300 WA MADHEHEBU MBALIMBALI KUSHIRIKI SEMINA NA KONGAMANO...
Na Pamela Mollel,ArushaWachungaji zaidi ya 300 kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini bila kujali madhehebu yao wako katika semina maalumu ya neno la Mungu yenye lengo la kusaidia kupeleka ujumbe wa...
View ArticleOnyesho la Harusi Trade Fair kufanyika Mei 12-13
Maonesho ya tisa ya Harusi Trade Fair yanatarajiwa kufanyika Mei 12 hadi 13 mwaka huu kwenye hoteli ya Golden Tulip Oyststerbay Jiji Dar es salaam ili kuwapatia maharusi uwanja wa kuchagua mahitaji yao...
View Article