TANZIA:Brigedia Jenerali (mstaafu) Albert Costantino Frisch afariki dunia
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)linasikitika kutangaza kifo cha Brigedia Jenerali Albert Costantino Frisch (mstaafu) kilichotokea tarehe         13 Aprili 2017. Marehemu Brigedia Jenerali...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MAONYESHO YA MIFUKO YA UWEZESHAJI YA...
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na watumishi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) wakati alipotembelea banda la benki hiyo kwenye maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi ya Serikali...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA VIONGOZI WA UWT ZANZIBAR
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa UWT kutoka mikoa minne ya Unguja.Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na...
View ArticleRais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete atembelewa na Balozi wa Canada Nchini
 Rais Mstaafu Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo amekutana na Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles aliyemtembelea ofisini kwake Masaki jijini Dar es Salaam. Mheshimiwa Balozi Ian Myles...
View ArticleYALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA TISA MKUTANO WA SSBA WA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson  akiongoza kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.Naibu Waziri wa Nchi Ofisi...
View ArticleWATU 13 WATAKIWA KUFIKA KITUO CHA KATI WAKIWA NA MITAMBO YAO YA KUZALISHA...
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema watu 13 wenye mitambo ya kufyatua kazi za wasanii za nje na ndani wakutane kituo cha kati wakiwa na nyaraka za kufanya kazi hiyo.Akizungumza na...
View ArticleWaziri Mkuu Kassim Majaliwa Bungeni leo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Mawaziri kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma, Aprili 19, 2017. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Tekinolojia na Mafunzo ya Ufundi...
View ArticleDC LINDI AWATAKA WAZAZI KUSHIRIKI KATIKA KUWAWEZESHA VIJANA
Na Jacquiline Mrisho - MAELEZO.Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Mhe. Shaibu Ndemanga amewataka wazazi kuacha tabia ya kuiachia Serikali na mashirika binafsi kuwawezesha vijana na badala yake washiriki...
View ArticleTUME YA KUREKEBISHA SHERIA YAENDESHA MKUTANO WA WADAU KUHUSU MAPITIO YA...
Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Mhe. Jaji Aloysius Mujuliza (Kulia) akisisitiza jambo wakati mkutano wa wadau kuhusu Mapitio ya Sheria zinazohusiana na Usajili wa Matukio Muhimu ya...
View ArticleRais Magufuli, Makomandoo Kupamba Sherehe za Muungano Dodoma
Na: Lilian Lundo - MAELEZO.Maonesho ya ukakamavu na mbinu za medani katika kupambana na adui hasa kulinda amani ya nchi yetu kutoka Kikosi Maalum cha Makomandoo wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ),...
View ArticleSERIKALI HAIDAIWI NA WAFANYAKAZI WA SEVENTY SEVEN HOTEL ARUSHA
Na Benny Mwaipaja, WFM-DodomaWizara ya Fedha na Mipango imesema kuwa waliokuwa wafanyakazi wa Hoteli ya Seventy Seven ya mkoani Arusha, walioachishwa kazi mwaka 2000, wameshalipwa mafao yao kwa mujibu...
View ArticleWAFANYAKAZI WA KUJITOLEA WA KIMAREKANI WA PEACE CORPS HAMSINI NA MOJA (51) WA...
Katika hotuba yake, Kaimu Balozi Spera aliieleza hafla hii kama sherehe ya kuthibitisha dhamira ya dhati ya wafanyakazi wa kujitolea kuhudumu na kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Marekani....
View ArticleTAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) YATOA HUDUMA YA UPIMAJI WA MOYO KWA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete Prof. Mohamed Janabi akiongea na waandishi wa habari kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo ikiwemo upimaji wa kina mama wajawazito...
View ArticleWATUHUMIWA 267 WAKAMATWA JIJINI DAR ES SALAAM KWA MAKOSA MBALIMBALI.
Na Ripotawetu Globu ya Jamii.Jeshi la Polisi limewakamata Jumla ya watuhumiwa 267 kwa Makosa mbalimbali ya kihalifu pamoja na Madawa ya kulevya, Unyang'anyi wa kutumia Silaha katika maeneo mbalimbali...
View ArticlePROFESA KITILA MKUMBO ATEMBELEA MTAMBO WA KUZALISHIA MAJI WA RUVU JUU
Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji ametembelea Tenki la Maji la terminal lilipo karibu na chuo kikuu cha ardhi ambalo linapokea maji kutoka mtambo wa Ruvu juu na chini.Pia ametembelea tenki...
View ArticleMICHUZI TV: DALADALA LAPIGA MWELEKA NA KUINGIA MTARONI JIJINI DAR LEO
Basi la abiria linalofanya safari zake kati ya Makumbusho mpaka Posta, limepiga mweleka na kuingia mtaroni katika eneo la Oysterbay, Kinondoni jijini Dar es salaam mchana wa leo.imeelezwa kwamba Basi...
View Article