SERIKALI YALIPA MADENI YA FEDHA ZA LIKIZO KWA WALIMU 86,234 NCHINI.
Na Daudi Manongi-MAELEZO.Serikali kupitia Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imelipa madeni ya fedha za likizo kwa walimu 86,234 kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2015/2016 na 2016/17.Hayo...
View ArticleIDARA YA HABARI YAFANYA MAHOJIANO NA MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mahojiano maalumu na Mkurugenzi Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbasi kuhusu masuala ya Muungano kwa...
View ArticleMKANDARASI AANZA KAZI USAMBAZAJI MAJI PEMBEZONI MWA BOMBA KUU RUVU JUU.
Na Daudi Manongi-MAELEZO.Wizara ya Maji na Umwagiliaji imesema kuwa mkandarasi ameanza kazi ya ujenzi wa mabomba ya usambazaji katika maeneo ya Malamba Mawili,Msigani,Mbezi...
View ArticleTPDC Kusambaza Gesi Asilia Kwa Kushirikiana na Sekta Binafsi
Na: Frank Shija – MAELEZO. TPDC kwa kushirikiana na Sekta binafsi wanatarjia kutekeleza miradi mbalimbali ya usambazaji wa gesi asilian katika Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi, Mtwara na baadhi ya...
View ArticleHealth Nusu Marathon Kufanyika Dar Aprili 26
Na Nuru Juma-Maelezo Taasisi ya Tanzania Health Summit yaandaa mbio za nusu Marathon na Upimaji wa afya kwa lengo la kusaidia juhudi za serikali katika kupunguza magonjwa yasioambukiza, mbio hizo...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI APOKEA UJUMBE TOKA KWA RAIS KAGAME WA RWANDA IKULU DAR ES...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Dkt. Musafiri Papias, Waziri wa Elimu wa Rwanda na Mjumbe maalumu wa Rais Paul Kagame alipokutana naye Ikulu jijini Dar...
View ArticlePata ticket yako ya Mother and Child Gala Event
Pata ticket yako ya Mother and Child Gala Event katika vituo vifuatavyo :Mr Price Mlimani City :Maznat Bridal saloon Mikocheni ::MAK bookshop Mliman City.:Kinyago trave &tour NHC HOUSE MJINI :OMY...
View ArticleMsaada tutani: Mtoto Arkam Salim Mbarouk amepotea, familia inamtafuta
Asalaamu alaykum. Mtoto wetu Arkam Salim Mbarouk (anayeonekana kwenye picha) mwenye umri wa miaka 12 amepotea tokea tarehe 19 April, 2017 mida ya jioni (alaasiri) wakati anakwenda madrasa (maeneo ya...
View ArticleApandishwa Kizimbani kwa kufufua simu zilizofungiwa na TCRA
Na Karama Kenyunko, Globu ya Jamii.Fundi simu, Juma Maulid (30) mkazi wa Tabata jijini Dar es Salaam, leo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma za kuingilia na kuchezea simu...
View ArticleDkt .Kebwe aipongeza TCAA kwa mchakato wa ununuzi wa Rada nne
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt Kebwe S. Kebwe akifungua mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA ), uliofanyika katika ukumbi wa Bwalo la Maofisa la Magadu, mjini...
View ArticleWATUMISHI SEKTA YA UJENZI WAPEWA SOMO
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Nyamhanga (Wa pili kulia), akizungumza na wafanyakazi wa Wizara hiyo pamoja na wawakilishi kutoka Taasisi zilizo...
View ArticleUamuzi wa kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi wa meno ya Tembo kutolewa mwezi...
Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.Mshtakiwa Philemon Manase ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa aliteswa sana wakati anatoa maelezo ya onyo katika kituo cha Polisi Osterbay Jijini Dar es...
View ArticleWAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA UONGOZI WA CHAMA CHA NGOMA NA MUZIKI ASILI TANZANIA
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe akizungumza na uongozi wa Chama cha Ngoma na Muziki wa Asili Tanzania (CHANGAMATA) wakati alipokutana nao ofisini kwake Mjini...
View ArticleSIMBA YADAI KUCHOKA UONEVU WA TFF, YATAKA MAANDAMANO YA AMANI
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.KUFUATIA sakata la kamati ya katiba, hadhi na wachezaji kuliweka tena mezani suala la Klabu ya Simba kupewa pointi 3 dhidi ya Kagera baada ya kumchezesha Mohamed Fakhi...
View ArticleKUONGEZA MUDA WA KUBADILISHA CHETI CHA CHANJO YA HOMA YA MANJANO
Tarehe 24 Novemba 2016 Wizara ilizindua Cheti kipya cha Chanjo za Kimataifa kijulikanacho kama Cheti cha Chanjo ya Homa ya Manjano ili kuendana na maboresho ya kipengele cha 7 cha Kanuni za Afya za...
View ArticleYANGA,PRISONS KUMALIZIA ROBO FAINALI ASFC KESHO
Mchezo wa Robo Fainali ya Nne ya Kombe la Shirikisho la Azam (Azam Sports Federation Cup 2016/2017), kati ya Young Africans na Tanzania Prisons FC utafanyika kesho Aprili 22, 2017 saa 10.00 jioni...
View Article