TAARIFA KUTOKA DRFA
Ligi Daraja la Pili Mkoa wa Dar es Salaam hatua ya sita bora imeendelea leo kwa michezo mitatu, ambapo kwenye Uwanja wa Kinesi, Abajalo imeifunga Friends Rangers bao 1-0. Bao hilo limefungwa na Waziri...
View Articlemambo ya mzungu kichaa
Mzungu Kichaa aka Espen Sørensen is a Danish singer and musician. He was born in Denmark, but grew up in Tanzania, where his parents worked in the field of Development Cooperation. They went there when...
View ArticleINTRODUCING KUTOKA MAKTABA YA GLOBU YA JAMII
Kutokana na maombi ya wengi, Globu ya Jamii inatii amri ya wadau ya kuanzisha makala ya KUTOKA MAKTABA itayoenda sambamba na Ngoma Azipendazo Ankal kila siku. Kwa kuanzia hapa ni Mnazi Mmoja jijini Dar...
View ArticleWAZIRI GHASIA ATAKA USIMAMIZI MAKINI KATIKA MASUALA YA MANUNUZI
. Habari na Picha na John Nditi, Morogoro WAZIRI wan chi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, ( TAMISEMI) Hawa Ghasia, amezitaka Kamati za Fedha na Uongozi za Halmashauri za...
View ArticleSUZA establishes Doctor of Medicine Degree
The State University of Zanzibar (SUZA) will start offering the Doctor of Medicine degree programme with effect from the forthcoming academic year commencing in October, 2013. Prof. Idris A. Rai, the...
View ArticleTHE UN SECRETARY-GENERAL MESSAGE ON WORLD MALARIA DAY
Since world leaders adopted the Millennium Development Goals in 2000, a broad partnership of governments, United Nations entities, philanthropies and businesses has combined to protect hundreds of...
View ArticleRUVU SHOOTING, SIMBA SASA KUKIPIGA MEI 5
Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Ruvu Shooting na Simba iliyokuwa ichezwe leo (Aprili 25 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam sasa itafanyika Mei 5 mwaka huu kwenye uwanja huo...
View ArticleRais Kikwete aongoza harambee ya maendeleo jimbo la Ukonga.Achangia 110m/
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza harambee ya kuchangia mfuko wa maendeleo jimbo la Ukonga jana jioni ambapo jumla ya Shilingi 462m/ zilipatikana ikiwa ni ahadi na fedha taslimu. Rais Kikwete...
View ArticleKUMBUKUMBU
MAREHEMU STANLEY THOMAS MBUYA MPENDWA WETU STANLEY LEO UMETIMIZA LEO MWAKA MMOJA TANGU ULIOITWA NA MUUMBA WAKO KUTOKA DUNIA HII. MIOYO YETU BADO IMEJAA SIMANZI NA MAJONZI MAKUU KWA KUONDOKEWA...
View ArticleKINANA AKUTANA NA BALOZI WA UBELGIJI LEO
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) akizungumza na Balozi wa Ubelgiji hapa nchini, Koen Adam, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, jijini Dar es Salaam, leo, Aprili 25, 2013. Wapoli kulia ni...
View ArticleRAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WA BANGLADESH,...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Katibu Mkuu wa Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Bw John haule kwa Balozi wa Bangladesh nchini Mhe Wahidur Rahman baada ya kupokea hati...
View ArticleMshindi wa Mahela atoa rai kwa Watanzania
Rai imetolewa kwa Watanzania kuwa na matumizi sahihi ya fedha wanazopata kutoka katika vyanzo mbalimbali ikiwa ni pamoja na mashindano ya michezo ya kubahatisha ili kuweza kujiletea maendeleo na...
View ArticleBalozi Kamala Akutana na Wanafunzi kutoka Tanzania wanaosoma katika Taasisi...
Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye miwani) akiwa na Wanafunzi kutoka Tanzania wanaosoma masuala ya Maji katika Taasisi ya Elimu ya Maji ya Kimataifa (UNESCO), Delft...
View ArticleNaibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akutana kwa...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) (kulia), akisalimiana na Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro, Mhe. Ikililou Dhoinine mara baada ya kuwasili...
View Articlemkataba wa ununuzi wa kivuko cha Dar-Bagamoyo watiwa saini leo
Waziri wa Ujenzi Dr. John Pombe Magufuli (watatu kulia) na Balozi wa Denmark Tanzania wakishuhudia utiaji saini mkataba wa ununuzi wa kivuko cha Dar Bagamoyo leo. Kivuko hicho kitajengwa na kampuni...
View Articlewaliongia kwenye kinyang'anyiro cha tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards...
Mratibu wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 kutoka BASATA Bw. Luhala akitangaza majina ya walioteuliwa kuingia kwenye mchakato wa tuzo hizo zinazotarajiwa kufanyika Juni 8, 2013 pale...
View ArticleMWANANYAMALA HOSPITAL RECEIVES ASSISTANCE FROM AAR ON WORLD MALARIA DAY
AAR Tanzania Company Limited today has provided 92 mosquito nets and 42 Bed sheets worth 1.3 Million to Pediatric and Maternity block in Mwananyamala Hospital Dar-es-salaam as the way of showing...
View Article