Waziri wa Ujenzi Dr. John Pombe Magufuli (watatu kulia) na Balozi wa Denmark Tanzania wakishuhudia utiaji saini mkataba wa ununuzi wa kivuko cha Dar Bagamoyo leo. Kivuko hicho kitajengwa na kampuni ya johs Gram-Hanssen A/S ya Denmark. Kivuko hicho kitakuwa na uwezo wa kubeba abiria 300 kwa pamoja na kinatarajiwa kukamilika miezi minane kutokea leo.
↧