![Photo: Majina ya wasanii, waandaaji muziki na vikundi kwa ajili ya tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 WIMBO BORA WA MWAKA Dear God - Kala Jeremiah Leka dutigite - Kigoma all star Mapito - Mwasiti Feat Ally Nipishe Me n U - Ommy Dimpoz Feat Vanessa Mdee Pete- Ben pol MSANII BORA WA KIUME Ben Pol Diamond Linex Mzee Yusuf Ommy Dimpoz MSANII BORA WA KIKE Isha Mashauzi Khadija Kopa Lady Jaydee Mwasiti Recho MSANII BORA WA KIKE - TAARAB Isha Mashauzi Khadija Kopa Khadija Yusuph Leila Rashid MSANII BORA WA KIUME - TAARAB Ahmed Mgeni Hashim Said Mzee Yusuf MSANII BORA WA KIUME - BONGO FLAVA Ally Kiba Ben Pol Diamond Linex Ommy Dimpoz MSANII BORA WA KIKE - BONGO FLAVA Linah Mwasiti Recho Shaa MSANII BORA WA HIP HOP Fid Q Joh Makini Kala Jeremiah Profesa J Stamina 9. Msanii Bora wa Kiume - Bendi Chalz Baba Dogo Rama Greyson Semsekwa Jose Mara Khaleed Chokoraa Msanii Bora wa Kike - Bendi Anneth Kushaba Luiza Mbutu Mary Lucos Vumilia Msanii Bora anayechipukia Ali Nipishe Angel Bonge la Nyau Mirror Vanessa Mdee Video Bora ya Wimbo ya Mwaka Baadae - Ommy Dimpoz Kamili gado - Professor J Feat Marco Chali Marry Me - Rich Mavoko Nichum - Bob Junior Party Zone - AY Feat Marco Chali Mtunzi Bora wa Mashahiri - Taarab Ahmed Mgeni Hemed Omary Khadija Kopa Mzee Yusuf Thabit Abdul Mtunzi Bora wa Mashahiri - Bongo Flava Ally Kiba Barnaba Ben Pol Linex Ommy Dimpoz Mtunzi Bora wa Mashahiri - Hip Hop Fid Q Joh Makini Kala Jeremiah Mwana Fa Stamina Mtunzi Bora wa Mashahiri - Bendi Chalz Baba Grayson Semsekwa Jonico Flower Jose Mara Khaleed Chokoraa Mtayarishaji Bora wa Mwaka - Muziki wa Kizazi Kipya Bob Junior Ima the boy Man Water Maneke Marco chali Mensen Selecta Mtayarishaji wa Wimbo wa Mwaka - Taarab Bakunde Enrico Mtayarishaji wa Wimbo wa Mwaka - Bendi Allan Mapigo Amoroso Mtayarishaji Chipukizi wa Mwaka Imma the Boy Mensen Selecta Mr T Touch Sheddy Clever Rappa Bora wa Bendi Fagasoni Greyson Semsekwa J4 Jonico Flower Sauti ya Radi Wimbo wenye vionjo vya asili Aambiwe - offside trick Atatamani - AT Boma la utete - Young D Chocheeni kuni - Mrisho Mpoto Feat Ditto Mdundiko - Momba Feat Juma Nature Wimbo Bora wa Bendi Chanzo ni sisi - Mapacha watatu Jinamizi la Talaka - Mlimani Park Orchestra Risasi kidole - Mashujaa band Shamba la twanga - African Stars band Wimbo Bora wa Reggae Hii si ya waoga - Yuzzo Kilimanjaro - Warriors from The East NATAFUTA PARADISE - Mac Malick Simba Salvation - Delayla Princess Tunda - Hardmad Wimbo Bora wa Africa Mashariki Fresh All Day - Camp Mulla Make you dance - Keko Feat Madtrax Maswali ya polisi - DNA Still a Liar - Wahu Valu Valu - Jose Chameleone Wimbo Bora wa - Bongo Pop Aifola - Linex Feat fundi Samweli Baadae - Ommy Dimpoz Feat Angel Chuki Bure - Sharo Milionea Feat Dully Sykes Marry Me - Rich Mavoko Me and you - Ommy Dimpoz Feat Vanessa Mdee Wimbo Bora wa Kushirikiana/kushirikishwa Chuki Bure - Sharo Millionea Feat Dully Sykes Mapito - Mwasiti Feat Ally Nipishe Me and U - Ommy Dimpoz Feat Vanessa Mdee Sihitaji marafiki - Fid Q Feat Yvonne Single Boy - Alikiba Feat Lady Jaydee Wimbo Bora wa Hip Hop Alisema - Stamina Feat Jux Bum kubam - Nikki wa Pili Feat G Nako Dear God - Kala Jeremiah Nasema Nao - Nay wa Mitego Sihitaji Marafiki - FID Q Feat Yvonne Wimbo Bora wa RnB Amerudi - Belle 9 Kuwa na Subira - Rama Dee Feat Mapacha Maneno maneno - Ben Pol Pete - Ben Pol Wimbo Bora wa Ragga/ Dancehall Je ni nani - Ras Six Muda upite - Susu Man Predator - Dabo Push Dem - Dr Jahson Take it down - Chibwa and Tanah Wimbo Bora wa Taarab Mjini chuo kikuu - Khadija Kopa Mpenzi chocolate - Jahazi [Mzee Yusuph] Si bure una mapungufu - Isha Mashauzi [Mashauzi Classic] Sina muda huo - Jahazi [Leila Rashid] Siwasujudii Viwavi jeshi -Isha Mashauzi [Mashauzi Classic] Wimbo Bora wa Zouk/Rhumba Gubegube -Barnaba Mapito - Mwasiti Feat Ally Nipishe Nashukuru umerudi - Recho Ni wewe - Amini Sorry - Barnaba Bendi Bora ya Mwaka CD1 African Stars Band Mapacha wa tatu Mashujaa Band Mlimani Park Orchestra [Sikinde] Msondo Ngoma Music band Kikundi Bora cha Taarab Dar modern Taarab Five stars modern Taarab Jahazi Modern Taarab Kings modern Taarab Mashauzi Classic Kikundi Bora cha Muziki wa Kizazi Kipya Jambo squad Makomando Tip Top Connection Tmk wanaume family Weusi](http://fbcdn-sphotos-g-a.akamaihd.net/hphotos-ak-ash3/p480x480/936273_330350900424535_1783541197_n.jpg)
Mratibu wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 kutoka BASATA Bw. Luhala akitangaza majina ya walioteuliwa kuingia kwenye mchakato wa tuzo hizo zinazotarajiwa kufanyika Juni 8, 2013 pale Mlimani City jijini Dar.
Meneja kilaji cha Kilimanjaro Premium lager, Bw. George Kavishe akifafanua jambo mbele ya Wanahabari (hawapo pichani) mapema leo jijini dar kuhusiana na mchakato mzima wa tuzo hizo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013.
BOFYA HAPA kuona walioingia kwenye kinyang'anyiro cha tuzo hizo.
Meneja kilaji cha Kilimanjaro Premium lager, Bw. George Kavishe akifafanua jambo mbele ya Wanahabari (hawapo pichani) mapema leo jijini dar kuhusiana na mchakato mzima wa tuzo hizo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013.
BOFYA HAPA kuona walioingia kwenye kinyang'anyiro cha tuzo hizo.