Taswira mseto kutoka jijini Mwanza leo
Mdau akila kichwa mbele ya Sanamu ya Samaki iliopo kwenye kipita shoto cha Barabara ya Nyerere,jijini Mwanza mapema leo.Watu wengi kutoka maeneo mbali mbali,hupenda kufika katika eneo hili na...
View ArticleBuilding business beyond tomorrow
5th Economic women conference and business expo brought by Dare to Dream Foundation with Vodacom. Dare to Dream Foundation will be hosting another women’s business conference and exhibition on the 11th...
View Articletaswira mseto kutoka zanzibar leo
Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi Zanzibar, Mhe Haroun Ali Suleiman,akimkabidhi fedha taslima zaidi ya shilingi Milioni tatu, mmoja wa viongozi wa shehia ya Mzuri kwa ajili ya mashindano ya kumuenzi...
View ArticleZIARA YA MHE. BEGUM KARIM TAJI JIJINI LYON, UFARANSA
TAREHE 23 - 24 APRILI 2013 Tarehe 23 - 24/04/2013, Mhe. Begum K. Taji, Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa alifanya ziara ya kikazi Lyon, mji wa pili kwa utajiri baada ya Paris. Akiwa Lyon, Balozi Taji...
View Articlekesho ni sherehe za miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Na. ELIPHACE MARWA na FRANK SHIJA - MAELEZOMwalimu Julius Kambarage Nyerere akichanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar kaushiria Muungano uliozaa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania miaka 49...
View ArticleKIJANA ATIWA MBARONI KWA KUCHAFUA MAZINGIRA IRINGA
Kijana Masha Yusuph mkazi wa Iringa akiwa ofisi ya mwanasheria wa Halmashauri ya manispaa ya Iringa Bw Innocent Kihaga (kulia) baada ya kukamatwa na mgambo wa Manispaa hiyo akichafua ukuta...
View Article117 USD MILIONI ZATENGWA KWA AJILI YA BAJETI YA JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI
Mahmoud Ahmad, ArushaJumla ya dola za Kimarekani million 177,238,966 zimetengwa kwenye bajeti ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kwa mwaka wa fedha 2013-14 na kuidhinishwa na Baraza la Mawaziri wa...
View ArticleMarketer's Night Out yafana usiku huu ndani ya Golden Tulip jijini dar.
Ulifika wakati wa wageni waalikwa mbalimbali kuserebuka na muziki mzuri uliokuwa ukiporomoshwa na bendi ya B Band,kwenye hafla ya "Marketer's Night Out ",ambapo msemaji mkuu alikuwa ni Dkt.Wale...
View Articlengoma azipendazo ankal
Sipho "Hotstix" Mabuse anaungana nasi kusherehekea Mungano kwa ngoma ya 'Zanzibar'
View ArticleIN LOVING MEMORY
Dear Dad - Adolf IsariaMkonyRemembering You on your Birthday.Born 26/4/1948 passed on 26/12/2002We know that today was his Special day!a celebration of his birthday,It's always hard to face this daynow...
View ArticleAFISA MTENDAJI MKUU WA PEPSI ATEMBELEA TANZANIA
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya vinywaji baridi ya PEPSI kwa Bara la Asia, Mashariki ya Kati na Afrika, Bw. Saad Abdul Latif, hivi karibuni alifanya ziara nchini Tanzania ikiwa ni sehemu ya ziara ya...
View ArticleNgoma Africa Band inawatakia heri ya miaka 49 ya MUUNGANO
Bendi ya muziki wa dansi "Ngoma Africa Band" a.k.a FFU UGHAIBUNI yenye maskani nchini Ujerumani inawatakia kila la heri na fanaka ya MIAKA 49 YA MUUNGANO wa jamuhuri ya TANZANIA, watanzania wote...
View ArticleSHEREHE ZA MIAKA 3 YA VIJIMAMBO NA TAMASHA LA UTAMADUNI WA KISWAHILI MAREKANI
Blog ya Vijimambo ikishirikiana na Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini, Washington, DC, Marekani na Jumuiya ya Watanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia wanapanga...
View ArticleSHEREHE ZA MIAKA 49 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR ZAFANA SANA UWANJA...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiingia uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam leo kuongoza Watanzania kusherehekea miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamhuri ya Muungano ya...
View ArticleSALAMU KUSHEREHEKEA SIKUKUU YA MUUNGANO WA TANZANIA KUTOKA CCM UK .
NduguWaTanzania,Kwa Niaba ya TAWI la Chama Cha Mapinduzi Uingereza ,na kwa niaba yangu binafsi, Napenda kutoa salamu za dhati kwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View Articleuwekaji saini mkataba wa ujenzi wa kivuko cha Dar- bagamoyo
Picha ya mchoro ya kivuko cha Dar es Salaam – Bagamoyo kitakavyokuwa. Mtendaji Mkuu wa TEMESA Mhandisi Marceline Magesa (mwanamke) , na mwakilishi wa kampuni ya JOHS GRAM HANSSEN A/S ya Denmark...
View Article