Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Kijana Masha Yusuph mkazi wa Iringa akiwa ofisi ya mwanasheria wa Halmashauri ya manispaa ya Iringa Bw Innocent Kihaga (kulia) baada ya kukamatwa na mgambo wa Manispaa hiyo akichafua ukuta wa bustani ya Manispaa kwa kubandika matangazo yake bila kibali |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Mgambo wa Manispaa ya Iringa wakiwa wamemweka chini ya ulinzi kijana Masha Yusuph kwa kuchafua mji |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Hapa wakimtaka kijana huyo kuokota takataka alivyokuwa akizitupa ovyo baada ya kubandika matangazo yake |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Hapa akipelekwa ofisi za Mwanasheria na kupigwa faini ya shilingi 50,000 kwa uchafuzi wa mazingira |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Hapa akiingizwa katika ofisi za Mwanasheria. Picha na Francis Godwin |