Msaada Tutani: KIJANA AHITAJI MILIONI 9.6 akatibiwe India
Kijana Zuberi Mgeni anayesumbuliwa na maradhi ya moyo yanayopelekea tumbo kujaa maji, anahitaji kiasi cha dola 6000 sawa na shilingi 9.6 milioni kwa ajili ya kwenda India kufanyiwa upasuaji wa maradhi...
View ArticleMCHAKATO WA MASHINDANO YA FIFA COPA COCA COLA (U15) 2013 WAANZA RASMI
Mchakato wa mashindano ya Fifa Copa Coca Cola kwa mwaka 2013 umeanza rasmi leo ambapo Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Leodgar Chilla Tenga alifungua semina elekezi iliyoshirikisha makatibu wa...
View ArticleMambo ya Mnazi Mmoja Lindi
Hapo mmoja buku...anasema mdau Gerson Msigwa aliyekuwa huko majuzi
View Articlebaadhi ya WAIMBAJI wa tamasha la pasaka KUTOKA KENYA, DRC WATUA DAR
Mwimbaji wa nyimbo za injili, Solomon Mukubwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu maandalizi yake katika tamasha la Pasaka 2013.Mwimbaji wa nyimbo za injili, Faraja...
View ArticleLugha iliyokuja na meli noma...
Dear Friend,I was born intelligent but education has ruined me. May your day be punctuated with a revanchism whose magniloquence can only be theatropistically analysed by the use of a reminiscent...
View ArticleObama Names First Woman to Lead Secret Service
President Barack Obama appointed the first woman to lead the US secret service in its 148-year-old history. The appointment does not need Senate approval.Julia Pierson, a secret service veteran who...
View ArticleTume ya Utumishi wa Bunge yatembelea Bunge la Uingereza
Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola duniani, Sir Alan Haselhurst(kati) akiwa katika mazungumzo na Mhe.Job Ndugai, Naibu Spika wa Tanzania na Katibu wa Bunge, Dr Thomas Kashililah...
View ArticleMazingira ya uwekezaji kuendelea kuboreshwa zaidi - Dkt. Nagu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwezeshaji na Uwekezaji DKT. Mary Nagu (katikati) akifurahia jambo na viongozi wa makampuni ya china (kushoto) ni Mkuu wa chama cha ushirikiano cha China Bw. Charles...
View ArticleUJUMBE WA FIFA KUSIKILIZA WAGOMBEA TFF APRILI 16
SHIRIKISHO la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) ambalo lilisimamisha mchakato wa uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kutokana na baadhi ya wagombea kulalamika kuenguliwa sasa...
View ArticleFM academia kufanya onyesho kali katika kiota cha East 24,Mikocheni jijini...
Mwanamuziki wa Bendi ya FM Academia,Nyoshi el Sadaat (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam leo juu onyesho lao maalum litakalofanyika kesho Alhamisi...
View ArticleBalozi Peter Kallaghe akutana na ujumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge katika...
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe.Peter Kallaghe akiwa katika mazungumzo na Wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge waliokwenda kumsalimu ofisini kwake jana jioni wakiongozwa na Naibu Spika Mhe.Job...
View ArticleIGP MWEMA: HUDUMA BORA KWA WANANCHI SIYO HIARI
Na Frank Geofray-Jeshi la Polisi.Askari Polisi Nchini wametakiwa kuendelea kutoa huduma bora kwa Wananchi ili kuendeleza mahusiano mema na Jamii pamoja na kushirikiana katika kuendeleza mpango wa...
View ArticleBarrick yatoa tuzo kwa wafanyakazi bora
mfanyanyazi wa Mgodi wa North Mara unaomilikiwa na kampuni ya uchimbaji madini ya African Barrick Gold (ABG) akiwa na tuzo ya ufanyakazi bora kwenye idara ya mahusiano ya jamii kwenye sherehe...
View ArticleLINDI WAAZIMIA KUJIUNGA CHF
Diwani wa Kata ya Kilangala wilayani Lindi Vijijini Somoe Mwaya akihamasisha wananchi kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF). Meneja wa CHF, Constantine Makalla akimsikiliza mmoja wa wananchi...
View ArticleZITTO KABWE AKANUSHA KUHUSU TUHUMA ZILIZOANDIKWA NA GAZETI LA MTANZANIA
Katika gazeti la Mtanzania toleo na. 7269 la Jumatano Machi 27, 2013 kuna habari yenye kichwa chenye maneno ‘ SIRI YA KUUAWA ZITTO YAFICHUKA’ na vichwa vidogo ‘yadaiwa ilipangwa anyweshwe sumu...
View ArticleMH. MATHIAS CHIKAWE AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mh. Jaji Frederick Werema akimkaribisha Waziri wa Katiba na Sheria,Mh. Mathias Chikawe (mwenye miwani) kwenye ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa baraza la wafanyakazi wa Ofisi...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA TUME YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA (COSTECH)...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsikiliza Mkurugenzi wa Sayansi ya Uhai, Dkt. Flora Tibazarwa, wakati Makamu alipofanya ziara ya kutembelea katika...
View ArticleDk. Shein amteua Balozi Isaac Abraham Sepetu kuendelea kuwa Mwenyekiti wa...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, amemteua Balozi Isaac Abraham Sepetu kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Uwekezaji...
View Article