Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 118074

MH. MATHIAS CHIKAWE AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

$
0
0
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mh. Jaji Frederick Werema akimkaribisha Waziri wa Katiba na Sheria,Mh. Mathias Chikawe (mwenye miwani) kwenye ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Waziri wa Katiba na Sheria,Mh. Mathias Chikawe (watatu kushoto waliokaa) kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa baraza la wafanyakazi wa ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 118074

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>