Malipo hewa yarudiwa Hai
AGIZO la Rais Magufuli la kutaka kurejeshwa kwa fedha za Chuo cha Ualimu cha Mongere kilichopo wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro cha kiasi shilingi million 76 .9 zilizo tafunwa na aliyekua Mhasibu wa...
View ArticleRC MAKONDA, MKURUGENZI PUMA ENERGY TANZANIA WAWATEMBELEA WATOTO WANAOTARAJIWA...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda akizungumza na wazazi ambao watoto wao wanasubiri kufanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati alipotembelea Taasisi...
View ArticleDPP AWAONYA MAWAKILI WANAOCHOKUA FEDHA ZA WATUHUMIWA WA UHUJUMU UCHUMI...
Na Karama Kenyunko,Michuzi TVMKURUGENZI wa Mashtaka nchini Tanzania, Biswalo Mganga, amewaonya mawakili wa kujitegemea wanaochukua fedha kwa watuhumiwa wa uhujumu uchumi wanaoomba msamaha na kukiri...
View ArticleMAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA LISHE
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano wa Wadau wa Lishe kwenye ukumbi wa Kambarage, Hazina jijini Dodoma, Oktoba 3, 2019.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na...
View ArticleWACHEZAJI CHIPUKIZI WA MPIRA WA MIGUU KUTOKA AFRIKA WALIODHAMINIWA NA QNET...
Wachezaji chipikizi wa mpira wa miguu kutoka Afrika waliodhaminiwa na QNET wahadhithia mambo waliyoyaona Manchester City Mkurugenzi wa Masoko wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la nchini Ivory Coast,...
View ArticleASKARI POLISI SITA, WAFANYABIASHARA WAWILI KORTINI KWA TUHUMA ZA KUSHAWISHI...
Na Karama Kenyunko, Michuzi TvASKARI Polisi sita na wafanyabiashara wawili wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka mbalimbali likiwemo la kushawishi rushwa ya Sh. milioni...
View ArticleDKT.KALEMANI AMSIMAMISHA KAZI ALIYESABABISHA UMEME KUKATIKA KWA UZEMBE
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani,( kulia) akielezwa namna Mfumo wa Gridi ya Taifa,unavyofanya kazi.Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani,( kushoto)akitoa maelezo kwa baadhi ya watendaji katika...
View ArticleUBALOZI WA TANZANIA, UHOLANZI WASHIRIKI KWA MAFANIKIO TAMASHA LIJULIKANALO...
Balozi wa Tanzania, The Hague, Uholanzi, Mhe. Irene Kasyanju akitoa maelezo kwa mgeni aliyetembelea Banda la Tanzania wakati wa Tamasha maarufu kama Embassy Festival lililofanyika hivi karibuni....
View ArticleMKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA BALOZI WA COMORO NCHINI
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekema (kulia) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Comoro nchini, Dk. Ahamada El Badaoul Mohamed aliyemtembelea ofisini kwake jana.
View ArticleWAZIRI HASUNGA ATANGAZA BEI ELEKEZI KWA MBOLEA YA KUKUZIA (UREA) KWA MSIMU WA...
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizungumza kwenye mkutano wa waandishi wa habari Jijini Dar es salaam katika Ofisi ndogo za Wizara ya Kilimo tarehe 3 Octoba 2019 kwa ajili ya kutangaza bei...
View ArticleMKUTANO WA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI NA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi, akisisitiza jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani), kuhusu utekelezaji wa kazi mbalimbali za Serikali,...
View ArticleMkurugenzi Mkuu wa NIDA akutana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mabenki...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mabenki Tanzania ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kulia) akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya...
View ArticleMHE IKUPA: WENYE ULEMAVU CHANGAMKIENI FURSA ZA MIKOPO
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Wenye Ulemavu) Mhe. Stella Ikupa akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Watu Wenye Ulemavu Bw. Kayanda Ibrahim alipowasili wilaya ya Pangani kwa ajili ya ziara...
View ArticleJAJI MKUU AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA BARAZA LA USULUHISHI TANZANIA
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (katikati) akizungumza na wajumbe wa Baraza la Taasisi ya Usuluhishi Tanzania( Tanzania Institute of Arbitrators) waliofika ofisini kwake leo,...
View ArticleAMENDMENT TO EAC CUSTOMS MANAGEMENT ACT IN THE OFFING
Hon Dr Abdullah H. Makame who seconded the Motion presented by Hon Abdikadir Aden to introduce an amendment to the EAC Customs Management Act, 2014.A section of the legislators pay attention to the...
View ArticleEAC CLIMATE CHANGE PROGRAMME LAUNCHED
The intra-Global Climate Alliance Plus (GCCA+) Programme on supporting Climate Change Adaptation and Mitigation Actions in the East African Community has been launched at the EAC Headquarters in...
View ArticleRICE FARMERS IN EAST AFRICA TO BENEFIT FROM US$3 MILLION GRANT
Rice farmers in East Africa are set to benefit from a US$3.1 million dollar grant to a rice sector promotion project which will be implemented over a period of three years.The Competitive African Rice...
View ArticleWashtakiwa Raia wa Kigeni wahukumiwa kulipa faini ya sh.Milioni 100 au kwenda...
HAKIMU Mkazi wa Mahakama ya Wilaya Arusha Rose Ngoka amewahukumu washitakiwa kumi ambao ni raia wa kigeni, kulipa Sh.milioni 100 au kwenda jela miezi 12, kwa kosa kufanya kazi kampuni ya uwindaji ya...
View Article