RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI SONGWE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kikundi cha ngoma za asili mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya wakati akielekea mkoani...
View ArticleNMB TAWI LA MIRERANI WAZINDUA MIKOPO YA AFYA LOAN
Meneja wa benki ya NMB Tawi la Mirerani Allan Kombe (katikati) na wadau na watumishi wa benki hiyo wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye tafrija ya wiki ya huduma kwa wateja. Watumishi wa benki ya NMB...
View ArticleWAZIRI MKUCHIKA NA KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU WARIDHISHWA NA...
Na James K. Mwanamyoto,NewalaWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst), Mhe. George H. Mkuchika (Mb) na Kiongozi wa Kitaifa wa Mbio za Mwenge wa Uhuru...
View ArticleDKT. KIJAJI AIGIZA AIAGIZA TRA KUWEKA MIFUMO IMARA YA UKUSANYAJI MAPATO.
Naibu Kamishina (Operesheni) wa Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA, Bw. Albert Kingu akimkabidhi Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, ‘Road map’ na makubaliano ya malengo waliyojiwekea Mamlaka hiyo na...
View ArticleTMDA yachangia taulo za kike pakiti 2,448 kwa wanafunzi kidato cha nne...
TMDA imechangia taulo za kike pakiti 2,448 kwa wanafunzi wa kidato cha nne walio kambi ya kitaaluma ili kuunga mkono jitihada za Mkoa wa Simiyu katika kukuza elimu ili kumuunga mkono Mkuu wa mkoa huo...
View ArticleJuma la Elimu ya Watu Wazima laadhimishwa wilayani Misungwi
Mgeni rasmi, Zubeda Kimaro akikabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu wa mafunzo ya elimu ya watu wazima wilayani Misungwi.Mmoja wa wahitimu elimu ya watu wazima wilayani Misungwi aakipokea cheti kutoka...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MLOWO MBOZI MKOANI SONGWE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa mji wa Mlowo Mbozi mkoani Songwe mara baada ya kuwasili wakati akitokea uwanja wa ndege wa Songwe mkoani...
View ArticleCWT yakabidhi mifuko 300 ya Saruji Dodoma, Meya wa Jiji aungana nao
Charles James, Michuzi TVKATIKA kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli za kutoa elimu bure Chama cha Walimu Nchini (CWT) kimekabidhi mifuko 300 ya Saruji yenye thamani ya Shilingi Milioni Nne kwa...
View ArticleWAZIRI LUGOLA AWATUMBUA MKUU WA POLISI WILAYA, OC CID, OCS NKASI
Na Mwandishi Wetu, MOHA, NkasiWAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewaondoa katika nyadhifa zao viongozi wakuu wa Jeshi la Polisi wa Wilaya ya Nkasi, Mkoani Rukwa kwa kushindwa kumudu...
View ArticleWAZIRI MKUU MKOANI AFANYA ZIARA MKOANI SINGIDA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mkandarasi wa mradi wa maji Kintinku/Lusilile, Injinia Jumanne Werema, uliyopo katika Wilaya ya Manyoni, mkoani Singida, Oktoba 4.2019. Katikati ni Mkuu wa...
View ArticleWAZIRI MKUU AITAKA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI KUREJESHA SH.MILIONI 100
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Singida baada ya kupokea raarifa ya mradi wa maji wa Kintiku Lusilile uliopo Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni katika siku yake...
View ArticleMKUU WA TAKWIMU ZA BEI ATOA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR
Mhadhiri na Mkuu wa Idara ya Uchumi Chuo Kikuu cha Taifa SUZA Suleiman Simai Msaraka akitolea Ufafanuzi baadhi ya Maswala yalioulizwa katika Mkutano wa Waandishi kuhusu Takwimu za Bei ambapo...
View ArticleProfesa Ndalichako awataka wanafunzi kuzingatia nidhamu mashuleni
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amesema elimu bila nidhamu na maadili haiwezi kusaidia kufanikiwa katika maisha. Waziri Ndalichako ameyasema hayo wakati wa mahafali ya...
View ArticleZawadi za Rock City Marathon Zawakosha Washiriki
Mratibu wa Mbio za Rock City Marathon, Bw. Kasara Naftal akionyesha medali ambayo washiriki wote watakaomaliza mbio hizo watapatiwa. Mtendaji wa Idara ya Mawasiliano ya mbio za Rock City Marathon,...
View ArticleWATUMISHI WA UMMA NCHINI WATAKIWA KUTUMIA VIZURI RASILIMALI KATIKA UTENDAJI...
Na Happiness Shayo, MaguWatumishi wa Umma nchini wametakiwa kutumia vizuri rasilimali zilizopo katika kutoa huduma bora kwa wananchi kwa kuzingatia Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo ya kiutumishi...
View ArticleKATIBU MKUU MLAWI ATOA MAAGIZO KWA WAFANYAKAZI WA WIZARA
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bibi Susan Mlawi akizungumza mara baada ya kumtambulisha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt.Ally Possi (kushoto) kwa Watumishi wa Wizara hiyo...
View ArticleFaru mweusi anavyochochea utalii Ngorongoro
Na Woinde Shizza, NgorongoroMoja ya maeneo yaliyomo kwenye orodha ya maajabu saba ya dunia niMamlaka ya Hifadhi ya Nogorogoro yenye vivutio vingi vya utaliiakiwemo faru mweusi.Hifadhi hiyo ina mamlaka...
View ArticleWAZIRI MKUU AMPA SIKU TATU MHAZINI ITIGI AREJESHE POSHO ALIYOJILIPA KINYUME...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amempa siku tatu Kaimu Mweka Hazina wa wilaya ya Itigi, Bw. Optatus Likiliwike ahakikishe anarejesha sh. milioni 1.6 ambazo alijilipa posho kinyume cha utaratibu. “Kabla...
View Article