Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 119842 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JENGO LA KITUO CHA UMAHIRI LAKABIDHIWA KWA WIZARA YA MADINI.

Anaandika Abdullatif Yunus, Michuzi TV KAGERA.Miongoni mwa majengo saba ya Vituo vya Umahiri (Centers of Excellence) yanayojengwa hapa Nchini, chini ya Wizara ya Madini likiwemo jengo lililojengwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MAKONDA AWAPA SIKU SITA WATUMISHI WA TAMISEMI WANAOHUSIKA NA MIRADI YA...

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe.Paul Makonda ameelekeza Watumishi wa TAMISEMI wanaohusika na Miradi ya ujenzi wa Mifereji na Mito kupitia DMDP kuhakikisha kabla ya October 10 mwaka huu miradi yote ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA MAJI MANYONI

*Unatarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi. bilioni 10WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa mradi wa maji wa Kintiku – Lusilile ulioko Manyoni ambao awamu yake ya kwanza inatarajiwa kukamilika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AWAHUTUBIA WANANCHI WA VWAWA MKOANI SONGWE

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi Mbozi katika mkutano uliofanyika katika mji wa Vwawa mkoani Songwe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU SEKTA YA MIFUGO ARUSHA WAITAKA JAMII KUACHA IMANI POTOFU YA KUTHAMINI...

Na Woinde shizza, Arusha WADAU wa sekta ya Mifugo katika Halmashauri ya Arusha wameitaka jamii  kuachana na dhana potofu ya kuthamini bidhaa za nje ya nchi ni bora kuliko zinazotengenezwa hapa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA SMILE TRAIN LAWAUNGA MKONO CCBRT KUSAIDIA WENYE WATOTO WANAOZALIWA...

Ofisa wa maliasili watu na maendeleo wa hospitali ya CCBRT, Anastansia Melis akikabidhiwa mashine ya kufanyia upasuaji kwa watoto waliozaliwa na mdomo wazi kutoka Mkurugenzi wa Afrika Mashariki wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JKCI KUTOA MAFUNZO YA DHARURA KWA WATAALAMU WA MUHIMBILI, MOI NA AMANA

 Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya siku mbili ya kutoa huduma za dharula na jinsi ya kuwahudumia wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa mafunzo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIA WA CHINA-SIJAANDIKA BARUA YA KUKIRI MAKOSA

RAIA wa China, Cheng Guo, anayeshuka kwenye gari, ameiarifu mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa yeye hajaandika barua ya kukiri makosa yake ila ameandika barua ya kulalamikia kucheleweshwa kwa kesi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIAKA 20 BILA BABA WA TAIFA NA MSAMAHA WA WAHUJUMU UCHUMI WA RAIS MAGUFULI

Judith Mhina-MaelezoBaba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ni kati ya Marais wachache duniani ambao walikuwa  na utaratibu wa kusamehe watu wanaomkosea binafsi  na Taifa, kama vile wahujumu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS AKUTANA IDARA YA MAZINGIRA NA MENEJIMENTI...

 Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo akiongoza kikao kazi alipokutana na Idara ya Mazingira pamoja na Menejimenti ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIT YAAMUA KUPELEKA WALIMU WAKE KATIKA MIRADI MIKUBWA YA SERIKALI

KATIKA kuhakikisha Tanzania inaendesha miradi yake mikubwa inayojengwa sasa na serikali ya awamu ya tano, taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam (DIT) imepeleka walimu katika miradi hiyo kujifunza kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOA HUDUMA ZA MAJI WAKABIDHIWA VYETI, WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA MPYA YA 2019

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiMAMLAKA ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) wamewataka watoa huduma za majisafi kuzingatia sheria mpya ya maji na usafi wa mazingira namba 5 ya mwaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALIYEKUWA MHASIBU TAKUKURU AKIRI KOSA, KULIPA FAINI YA SHILINGI MILIONI 100

Mfanyabiashara Yasin Katare, wa mbele mwenye tisheti nyekundu, anayekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi, pamoja na aliyekuwa Mhasibu wa Takukuru, Godfrey Gugai wa nyuma mwenye tisheti ya mistari ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hatimaye Mwili wa nahodha wa mtumbwi uliozama ziwa Momela wapatikana

Na.Vero Ignatus,Arusha.Hatimaye mwili wa nahodha wa mtumbwi Samwel mhina (29)aliyezama kwa dhoruba ya upepo katika ziwa Momela mkoani Arusha siku nne zilizopita umepatikana.Kamishna msaidizi wa Jeshi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMU 14 DAR ZATINGA HATUA YA NUSU FAINALI MASHINDANO YA KUMBUKUMBU YA KIFO...

Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Utegi Enterprises (T)LMT Otieno Igogo (kulia) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu  udhamini wa michuano ya mchezo wa mpira wa miguu kuelekea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASKALI POLISI WATANO WA JWTZ WAHUKUMIWA KULIPA FAINI YA MILION 7.6

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu  Askari  Polisi watano na Mwanajeshi wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) kulipa faini ya Shilingi milioni 7.6 ama kutumikia kifungo cha mwaka miaka saba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bonanza la michezo Kufanyika kila baada ya Miezi Miwili

Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bw.Yusuph Singo amesema kuwa Bonanza la Michezo litaendelea kufanyika kila baada ya miezi miwili na litahusisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo ili kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu Majaliwa, aweka jiwe la msingi, katika kituo cha kupozea umeme...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la msingi, katika kituo cha kupozea umeme 400/220/33kV, Shinyanga, Singida Dodoma na Iringa awamu ya pili, eneo Misuna, katika Wilaya ya Singida Oktoba 5.2019....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UHAKIKI TAASISI ZA KIDINI NA JUMUIYA ZA KIJAMII KANDA YA ZIWA KUANZA OKTOBA 7...

Na Mwandishi Wetu, MOHA WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Ofisi ya Msajili wa Jumuiya za Kijamii na Taasisi za Kidini, itaanza kufanya uhakiki wa Jumuiya na Taasisi hizo awamu ya nne. Uhakiki...

View Article
Browsing all 119842 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>