Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 119823 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EQUITY BANK YAJA NA MUONEKANO MPYA

Mtendaji na Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Equity, Dk. James Mwangi, akiwaonesha Logo mpya ya Benki ya Equity, Mwenyekiti wa Bodi wa Benki hiyo Uganda, Apollo Makubuya (katikati) na Mkurugenzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wasichana Tabora Kuwania Uongozi

Na, Editha Edward-Tabora Baadhi ya Wasichana Mkoani Tabora wamesema hawata kuwa nyuma kuwania nafasi za uongozi katika chaguzi za Serikali za Mitaa na Uchaguzi mkuu ujao wakiamini Kuwa kupata uongozi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRC YAKANUSHA TAARIFA ZINAZOSAMBAA MITANDAONI KUHUSU FURSA ZA AJIRA ZAIDI YA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABULA AVUTIWA KASI YA UJENZI MRADI WA MACHINJIO YA VINGUNGUTI

Mhandisi kutoka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Elisante Ulomi akimuonesha maendeleo ya ujenzi wa mradi wa Machinjio ya Vingunguti Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATENDAJI SERIKALINI WATAKIWA KUTENDA HAKI WAKATI WA UJAZAJI WA FOMU ZA OPRAS...

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na Watumishi wa Umma wa Mkoa wa Simiyu (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AKAGUA SHAMBA LA KOROSHO MANYONI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua shamba la mfano la korosho lenye ukubwa ekari 12,000 lililopo kijiji cha Misigati, wilayani Manyoni na kusema kuwa ameridhishwa na uamuzi wa wilaya hiyo kuwa na zao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI HALMASHAURI YA MJI NEWALA KUNUFAIKA NA ZAHANATI ILIYOJENGWA NA TASAF

Mwenge wa Uhuru ukiwa mbele ya Zahanati ya Tupendane iliyojengwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) mara baada ya ujumbe wa Mwenge huo kuitembelea Halmashauri ya Mji Newala ili kukagua na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI WAELEZA UELEWA MDOGO WA JAMII AFYA YA UZAZI IMEKUWA NI CHANZO CHA...

Na Jusline Marco-ArushaVijana wa shule ya sekondari Musa, halmashauri ya Arusha, wameweka wazi kuwa, uelewa mdogo wa jamii kuhusu afya ya uzazi, imekuwa ni chanzo cha ndoa nyingi za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEYA MSTAAFU KINONDONI YUSUFU MWENDA AWAOMBA WADAU KUCHANGIA SEKTA YA ELIMU...

Meya mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni akimlisha keki mmoja wa watoto wa darasa la awali katika Shule ya Mikocheni A ikiwa ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwake.Meya mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MENEJMENTI YA OFISI YAKE JIJINI...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Menejmenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira katika kikao cha kazi ikiwemo Utekelezaji wa Miradi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wananchi washauriwa kujiepusha na vichocheo vya maradhi ya Moyo

Wananchi wametakiwa kupunguza utumiaji wa vileo, uvutaji wa sigara pamoja na vyakula vyenye mafuta mengi ikiwemo chapati, mandazi na vitumbua kwani vinavyochochea ongezeko la maradhi ya moyo na badala...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA ZAMBIA EDGAR LUNGU,WAFUNGUA KITUO CHA PAMOJA...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja na Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu mara baada ya kufungua Kituo cha pamoja cha Huduma za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI YAMEPUNGUA TANDAHIMBA-DC WARYUBA

Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Sebastian Waryuba amesema maambukizi ya virusi vya ukimwi yamepungua kwenye Wilaya ya Tandahimba na amewataka wananchi kujiepusha na maambukizi mapyaAmeyasema hayo leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AAGIZA DED MKALAMA ACHUNGUZWE

*Agoma kuweka jiwe la msingi la hospitali ya wilaya hiyoWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Singida, Bw. Adili Elinipenda amchunguze Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mkalama,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAWASA YAWEKA MALENGO YA KUKUSANYA BILIONI 12 KWA MWEZI

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiMAMLAKA ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasa) imejiwekea malengo ya kufikia Kiasi cha Shilling Bilioni 12 kwa mwezi katika makusanyo ya ankara za maji kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS LUNGU WA ZAMBIA WAZINDUA KITUO CHA MPAKANI CHA...

 Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Edgar Lungu wa Zambia wakifunua kitambaa kuashiria uzinduzi wa Kituo cha Mpakani cha Tunduma-Nakonde One-Stop Border Post upande wa Tanzania Leo Jumamosi Oktoba 5,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hospitali kuwajengea vyoo shule ya msingi Mloganzila

Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili-Mloganzila Dkt. Julieth Magandi (aliyesimama) akizungumza katika mahafali ya 14 ya darasa la saba ya Shule ya Msingi Mloganzila yaliyofanyika hii leo. Mwalimu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahafali ya 41 ya NBAA yafana, Naibu Waziri Dkt. Kijaji atoa neno kwa wahitimu

NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa mradi wa kituo cha uhasibu kilichopo Bunju jijini Dar es Salaam ulibuniwa kwa weledi mkubwa katika kuongeza wigo na fursa za mapato ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATENDAJI SERIKALINI WATAKIWA KUTENDA HAKI WAKATI WA UJAZAJI WA FOMU ZA OPRAS...

 Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na Watumishi wa Umma wa Mkoa wa Simiyu  (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TMDA ITAHAKIKISHA DAWA NA VIFAA TIBA VINAVYOPITA MPAKANI NI SALAMA NA VYENYE...

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Mh.Ummy Mwalimu ameeleza jana mbele ya Rais Dkt John Pombe Magufuli na Wananchi kwa ujumla kuwa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA)...

View Article
Browsing all 119823 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>