$ 0 0 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekema (kulia) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Comoro nchini, Dk. Ahamada El Badaoul Mohamed aliyemtembelea ofisini kwake jana.