ajali ya lori yazua foleni kubwa daraja la mto wami leo
Lorry la mizigo limeanguka karibu na daraja la Mto Wami na kusababisha foleni ndefu sana na usumbufu kwa watumiaji wa barabara hii ya Dar-Moshi-Arusha Kabla ya ajali hiyo
View Articleankal akutana na wadau wa globu ya jamii wa TMA monduli, arusha
Ijumaa hii Ankal alitembelea Chuo cha Maafisa wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (Tanzania Military Academy - TMA) huko Monduli, Arusha, na kukutana na baadhi ya wadau wakubwa wa Globu ya Jamii ambao...
View Articlewana paselepa mwenge jazz band bado waendeleza libeneke
Wakongwe Mwenge Jazz band 'Wana Paselepa' wakitumbuiza katika sherehe za kutunuku kamisheni kwa maafisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania katika Chuo cha Maafisa wa Kijeshi (TMA) huko Monduli, Arusha,...
View ArticleUZINDUZI WA JARIDA LA ONSPOT MAGAZINE
Mgeni rasmi, Mbunge wa Kigamboni, Mh. Dr. Faustine Ndugulile akiongea machache kwenye uzinduzi huo usiku wa kuamkia leo jijijni Dar es salaam. Jarida la Onspot Magazine zamani ilijulikana kama...
View ArticleRais wa Zanzibar Dr Ali Shein Akutana Kwa Mazungumzo na Waziri wa Uingereza...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Waziri wa Uingereza anayeshuhulikia masuala ya Afrika Bw.Mark Simmonds,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,baada ya...
View Articlewilaya ya Lindi yasitisha mikataba ya ujenzi wa barabara kwa makampuni matatu
Na Abdulaziz Video,LindiHalmashauri ya wilaya ya Lindi imesitisha mikataba ya ujenzi wa barabara kwa makampuni matatu yaliyopewa tenda za kujenga barabara zenye jumla ya urefu wa km 65.2 kwa kipindi...
View ArticleVituo vya watoto waishio katika mazingira magumu kunufaika msimu wa ramadhan
Rais Mstaafu Mh.Ali Hassan Mwinyi,akikabidhi sabuni na vitabu kwa mmoja wa watoto yatima kati ya 700 wa madrasa kisarawe,wakati wa futari ya pamoja na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,walioambatana na...
View ArticleTAHA yafungua rasmi ofisi zake za Zanzibar
Taasisi kilele ya TAHA inayoundwa na wakulima wanaojishughulisha na kilimo cha 'horticulture' nchini Tanzania hatimaye imefungua rasmi ofisi zake kuu katika visiwa vyenye marashi ya karafuu Zanzibar....
View ArticleWaziri wa habari Utamaduni Utalii na Michezo akutana na wawekezaji toka china
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Said Ali Mbarouk akizungumza na Mkurugenzi wa Kampuni ya Kimataifa ya huduma za usafiri ya China (CITS) Zou Wang Sheng (mwenye fulana nyekudu)...
View Articleanaswa kwa kudaiwa kuuza tiketi feki uwanja wa Taifa.
Mtu mmoja ambaye jina lake halikutambulika mara moja akiwa amekamatwa na mmoja wa Polisi waliokuwa nje ya uwanja wa Taifa wakiangalia usalama,kwa kudaiwa kuuza tiketi feki za mechi ya jana...
View ArticleNEWS ALERT: Askari 7 wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa na...
Askari saba wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika wameuawa katika shambulizi la kuvizia huko Darfur, magharibi mwa Sudan.Tukio hilo la Jumamosi limetajwa kuwa baya zaidi...
View ArticleMWILI WA MAMA MWANAMUZIKI PROF JAY WAAGWA NYUMBANI MBEZI MWISHO,KUZIKWA JIONI...
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
View ArticleBENKI YA CRDB YAFUTURISHA WATEJA WAKE MJINI ZANZIBAR
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa CRDB ya Benki, TullyEsther Mwambapa akizungumza katika hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wake. Waziri asiyekuwa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT BILAL AWASILI ABUJA KUHUDHURIA MKUTANO WA 12 WA AFRIKA WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mshauri Mkuu wa Makamu wa Rais wa Nigeria, Isaiah Balat, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa...
View ArticleMWANAFUNZI IFM KUZIKWA KESHO MAKABURI YA KINONDONI, NI WENDE LWENDO ALIYEKUFA...
Na Father Kidevu BlogMAZISHI ya Mwanafunzi na Rais wa Taasisi ya wanafunzi AIESEC- IFM, Wende Lwendo wa Mwaka wa Kwanza Uhandisi Kompyuta wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) aliyefariki juzi kwa kufa...
View ArticleAskari traffic na mwendesha vespa zenji: nani mwenye makosa?
Mambo vipi Ankal, naomba hii video uiweke kwenye blog yako kwani imenisikitisha sana kuona polisi anavyochukua hatua mikononi mwake na kutumia kazi yake kunyanyasa raia. Video hii nimetumiwa na ndugu...
View ArticleNYUMBA INAPANGISHWA MBEZI BEACH
Nyumba ipo MBEZI GOIG, mita chache kutoka Barabara Kuu (Bagamoyo Road), upande wa kushoto kama unatokea Mbezi Tangi Bovu. Ina vyumba 3 vikubwa vinavyojitosheleza (3 Master Bedrooms), Two kitchens, Two...
View ArticleHOUSE FOR SALE AT MBWENI JKT
A brand new house is now available for sale at Mbweni JKT near Ndege Beach Club. The house is located at a prime area with facilities such as school (opposite the house), paved roads, approx. 2 km from...
View ArticleNEWS ALERT: HATIMAYE PESA ZA RESEARCH KWA WANAFUNZI WA MWAKA WA 3 CHUO KIKUU...
Vice Chancellor wa TEKU Prof. Dr. Tuli Kassimoto Huu ni uthbitisho wa kupokea Fedha hizo leo na sio kama walivyo kuwa wakidai wanafunzi kuwa Chuo kilitunza Fedha zao katika (Fixed deposit)Huu ni...
View Article