Antony na Gema Wameremeta.
Harusi:Ndugu Antony David Mtavangu na Gema Nicholaus Temba wakila kiapo cha kuishi pamoja katika kanisa la Mtakatifu Peter ,siku ya Jumamosi tarehe 6 Julai 2013. Antony na mkewe Gema wakiwa...
View ArticleMkoa wa Kilimanjaro watia fora Onyesho la Kili Music Tour 2013
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva,Nassib Abdul a.k.a Diamond akiwapagawisha mashabiki wake wakati Onyesho Kabambe la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013,lililofanyika kwenye Uwanja wa Ushirika Mjini...
View ArticleBODA BODA KAMPENI YAANZA FANYA KAZI JIJINI DAR
Kaka Michuzi habari ya kazi,naomba nirushie hii kwa jamii.kundi la Bodaboda Kampen ambalo linajihusisha ya kutoa elimu ya usalama barabarani kwa madeleva wa bodaboda wakishirikiana na jeshi la polisi...
View ArticleAPRM: peoples’ views should prevail in the new Constitution
By Correspondent, Dar es Salaam The African Union (AU) programme for governance assessment-the Peer Review Mechanism (APRM) Tanzania chapter has urged for views of the people to prevail on the final...
View ArticleMwanza mabingwa ARS 2013 - Kinondoni wasichana watwaa kombe
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Amos Makala akiongea wakati wa kufunga michuano ya Fainali ya mashindano ya Airtel Rising Stars katika viwanja vya karume jijini Dar es...
View ArticleKUSITISHWA HUDUMA YA TRENI YA ABIRIA YA JIJI KWA SIKU 2 KUANZIA LEO JULAI 8,...
Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitika kuwataarifu wananchi na wakazi wa jiji kwa jumla kuwa huduma ya treni ya jiji haitokuwepo kwa muda wa siku 2 kuanzia leo Julai 8, 2013 kutokana na...
View ArticleRotary Club Mzizima yapata rais wake
Rais mpya wa klabu ya Rotary ya Mzizima Dar es Salaam, Rotarian Ambrose Nshala, akihutubia katika hafla ya kumsimika rais mpya wa klabu hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Rais huyo...
View ArticleDC Ilala awaomba wadau kuwekeza katika mpira wa miguu
Na Mwandishi Wetu MKUU wa wilaya ya Ilala Raymond Mushi amewasisitiza wadau mbali mbali kuwekeza katika mpira wa miguu kwani hutoa ajira nyingi kwa vijana na kuwafanya wajipatie kipato. Akiongea na...
View ArticleDKT. SHEIN AFANYA UZINDUZI WA GATI MPYA YA ABIRIA MALINDI,ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa Bandari mpya ya Abiria katika bandari ya Malindi Zanzibar leo.mchana (kushoto)...
View Articlewachimbaji wadogo wa Madini Mererani waiomba Serikali kuipatia leseni kambuni...
Na Woinde Shizza,Arusha Wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mererani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wameiomba Serikali kuipatia leseni kampuni ya kizalendo ya Tan Youth Mining...
View Articleujenzi wa soko jipya la kisasa waendelea jijini mwanza.
Ujenzi wa soko jipya na la kisasa Afrika Mashariki ,lililopo kando kando ya barabara iendayo Air Port ukiendelea ndani ya jijini la Mwanza,kama lionekanvyo mara baada ya kunaswa na kamera ya Globu ya...
View ArticleSpecial Condolence Message on Behalf of Smart Partnership Movement through Dr...
On behalf of all the Smart Partners in the Movement, including HE Jakaya Mrisho Kikwete, President of Tanzania and CPTM Fellow, Global 2013 Host Patron & Adviser and His Colleagues, CPTM Chairman,...
View ArticleRAIS MSTAAFU ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AELEZEA UMUHIMU WA KISWAHILI
Mwandishi wa habari wa idhaa ya Kiswahili ya radio ya Umoja wa Mataifa, Joseph Msami akifanya mahojiano na Rais mstaafu wa Tanzania Alhaj Ali Hassan Mwinyi.Hivi karibuni Mwandishi wa Habari wa Idhaa Ya...
View ArticleMEMBE AFUNGUA MKUTANO WA TUME YA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA INDIA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akifungua rasmi Mkutano wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano (Joint Permanent Commission-JPC) kati ya Tanzania na India...
View ArticleRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Uholanzi Mhe.Dkt.Ad Koekkoek anayemaliza muda wake wa uakilishi nchini. Balozi huyo baadaye alifanya mazungumzo na Rais Kikwete ikulu jijini Dar es...
View ArticleMAMA PINDA APONGEZA TAASISI YA TARWOC DROP- IN, CHINI YA MBUNGE MNG'ONG'O IRINGA
Mke wa waziri mkuu Mama Tunu Pinda ( wa tatu kushoto) akiwasikiliza viongozi wa taasisi isiyo ya kiserikali ya TARWOC DROP-IN iliyopo Mkimbizi mjini Iringa pindi alipotembelea taasisi hiyo....
View ArticleSERIKALI KUSHIRIKIANA NA RIGHT TO PLAY KUENDELEZA MICHEZO
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Hermas Mwansoko akifafanua jambo kwa waandishi wahabari alipokutana na Wageni kutoka Taasisi ya Right To Play leo jijini Dar...
View Article