UBALOZI WASHINGTON, DC WAMUAGA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI
Juu na chini ni Rais Mstaafu Mhe. Ali Hassan Mwinyi akiongea machache katika chakula cha jioni alichoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani katika kumuaga baada ya kumaliza ziara ya siku tano...
View ArticleKatiba: Ufafanuzi Kuhusu Toleo la Kiingereza la Rasimu ya Katiba
Tume ya Mabadiliko ya Katiba imetoa ufafanuzi kuhusu Rasimu ya Katiba iliyotolewa hivi karibuni katika lugha Kiingereza na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na kusema rasimu hiyo haitoi...
View ArticleSIMBA NA YANGA ZAKABIDHIWA VIFAA VIPYA KWA AJILI YA MSIMU WA 2013/14
Ikiwa ni sehemu ya udhamini wake, bia ya Kilimanjaro Premium Lager imekabidhi vifaa vya michezo kwa klabu maarufu za Simba SC na Young Africans SC kwa ajili ya msimu wa 2013/14 wa Ligi Kuu...
View ArticleSERENGETI FREIGHT FORWARDERS LTD WAZEE WA KAZI; GOOD NEWS TO ALL!
FROM NOW ALL OUR CARGO WILL GO WITH KENYA AIRWAYS!THIS MEANS A DIRECT FLIGHT TO NAIROBI/DAR EVERY WEEK THIS MEANS NO MORE DELAYS OR EXCUSES!THIS MEANS BETTER SERVICE THAN BEFORE!AIR CARGO TO DAR...
View Articletaswira za njiani Mkoani Tanga
Kona ya Segera kuelekea Mkoani Tanga. Taswira za Kona ya Milima ya Korogwe Mkoani Tanga.
View ArticleNEWS ALERT: HATIMAYE MOTO WADHIBITIWA MLIMA KILIMANJARO
Moto mkubwa ulioanza katika Mlima Kilimanjaro tangu siku ya Jumapili tarehe 7.7.2013 umeendelea kudhibitiwa kwa kiwango kikubwa bila kuathiri shughuli za utalii katika Hifadhi ya Kilimanjaro.Hadi...
View Articleyale yale.....
TUTAZZZ! Cheki alama ya tahadhari ili kupunguza mwendo kabla ya kukwea tutazzz barabara ya Korogwe, labda uwe na bodaboda utaiona!! Maana haina kiakisi mwanga waka nini hivyo usiku kazi ipo. Ujenzi...
View ArticleSERIKALI YAOMBWA KUWAWEZESHA VIJANA WANAOHITIMU VYUO VYA UFUNDI
Na Mohammed MhinaSerikali imeombwa kuwasaidia wajasiriamali wadogowadogo kwa kuwapa vifaa na uwezo wa kujiendeleza ili waweze kudumisha ajira isiyo rasmi na kujikwamua kimaisha.Ombi hilo limetolewa na...
View ArticleKamati ya Uongozi EALA yatembelea Ukumbi mpya wa Bunge
Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Margareth Zziwa, akiwa na Kamati ya Uongozi wa Bunge hilo, walipotembelea ukumbi mpya wa Bunge la EALA uliopo kwenye jengo la Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika...
View ArticleWaziri Fatma Abdull Habib Fereji apongeza ushirikiano kati ya Bodi ya madawa...
Na Ali Issa Maelezo Zanzibar. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa kwaza wa Rais Fatma Abdull Habib Fereji amepongeza ushirikiano uliopo kati ya Ofisi hiyo, Bodi ya madawa na vipodozi Zanzibar na Baraza...
View ArticleRAIS KIKWETE AAGANA NA MABALOZI WAPYA LEO IKULU, DAR ES SALAAM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mabalozi saba walioteuliwa hivi karibuni na kuagana nao kabla hawajaripoti kwenye vituo vyao katika nchi mbali mbali leo Ikulu jijini Dar es salaam. Mabalozi...
View ArticleAOTTL Buying Season Starts
AOTTL MD, Mark Mason taking the Hon. Christopher Chiza (MP) Minister for Agriculture, Food and Cooperatives around the AOTTL Unprocessed tobacco Storage. In between the Minister and Mason is Elizabeth...
View ArticleWAZIRI WA UCHUKUZI AZINDUA MPANGO WA UFATILIAJI UFANISI WA UCHUKUZI KATIKA...
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe akihutubia katika uzinduzi wa mpango wa ufatiliaji ufanisi wa uchukuzikanda ya kati na nchi jirani za Burundi, Rwanda, Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo na...
View ArticleInflation drops to 7.6 per cent, on slow food prices
INFLATION continued to fall in the year to June due to slower rises in the prices of food and energy, the National Bureau of Statistics (NBS) said yesterday.The year-on-year rate of inflation fell to...
View ArticleKIFO CHA MTANZANIA: MSAKO MKALI WAENDELEA, BABA WA MAREHEMU KUWASILI LEO...
Omar Sykes enzi za Uhai wake.Na Swahili TVFamilia ya mwanafunzi mtanzania aliyeuwa mjini washington DC, marehemu Omary Sykes inatarajiwa kuingia nchini Marekani leo hii, swahili TV inaripoti. Kwa...
View ArticleUKISHANGAA YA MUSA....
Baada ya safu za video zenye mafanikio makubwa za NGOMA AZIPENDAZO ANKAL, MIONDOKO YA KUMEREMETA KWENYE MNUSO na MKATAA KWAO MTUMWA, Globu ya Jamii inakuongezea safu ingine ya video ya UKISHANGAA YA...
View ArticleDAWASCO YAJA NA MFUMO WA KIELEKRONIKI WA MALIPO YA ANKARA ZA MAJI
Dawasco imezindua rasmi Mfumo wa Malipo ya ankara za Maji ulioanza rasmi kutumika Tarehe 01.07.2013 Katika vituo vyake vyote 13. Mabadiliko haya yanalenga kuboresha huduma kwa Mteja. Pia mfumo...
View Article