Mke wa waziri mkuu Mama Tunu Pinda ( wa tatu kushoto) akiwasikiliza viongozi wa taasisi isiyo ya kiserikali ya TARWOC DROP-IN iliyopo Mkimbizi mjini Iringa pindi alipotembelea taasisi hiyo. Wengine pichani ni viongozi wa taasisi hiyo akiwemo mkurugenzi wake Mhe. Lediana Mng'ong'o ambae ni mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa wa tatu kushoto na wapili kushoto ni mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Terresia Mahongo
Siku ambayo shirika lilionyesha mfano kwa kutoa Baiskeli kwa Mbalozi wa Kata 20 wakisubiri kukabidhiwa usafiri wa Baiskeli nje ya kituo cha shirika la TARWOC DROP IN.