OFFICIAL DSTV BIG BROTHER PARTY AT NYUMBANI LOUNGE
DSTV pamoja na AIRTEL wanakuletea special Viewing party ya Big Brother Eviction Show Kila Jumapili ndani ya NYUMBANI LOUNGE kuanzia saa mbili usiku. Wiki hii Ndani ya Big Brother Rapper Mtanzania...
View ArticleHARAKATI ZA AKINAMAMA WA MKOA WA KILIMANJARO KUJIKWAMUA KIUCHUMI
Tofauti na tamaduni za mikoa mingine, huku Mkoani Kilimanjaro wakinamama ndio wafanyabiashara wakubwa wa biashara za mtaani a.k.a Machinga. Kamera Yetu leo hii ilikuwa ikivinjari katika kona mbali...
View ArticleHEKA HEKA SABASABA BANDA LA BARAZA LA TAIFA LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI (...
Wananchi mbalimbali wakipita katika banda la Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi NEEC kuangalia bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na wajasiriamali wahapa nchini kwenye maonyesho ya...
View ArticleKatibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue atembelea Banda la PPF kwenye...
Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bwana William Erio akimpa maelezo Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko huo alipotembelea katika banda la PPF katika maonyesho ya...
View ArticleRedd's Miss Temeke 2013 ni Sviona Nyameyo
Mshindi wa Redd's Miss Temeke 2013, Sviona Nyameyo (katikati), ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Sheria Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), akiwa na mshindi wa pili, Narietha Boniface,...
View ArticleKASEBA AINGIZA FILAMU YA BONGO MAFIA SOKONI
BINGWA wa mchezo wa Kick Boxing nchini Chapion Japhert Kaseba ameingia katika fani ya utoaji filamu za mapigano Live akianzia na picha yake ya kwanza itakayo mtambulisha inakwenda kwa jina la Bongo...
View ArticleMAJAJI WATEMBELEA BANDA LA MAGEREZA SABASABA
Mrakibu wa Magereza na Mtaalam wa Kilimo wa Jeshi la Magereza, Daimu Mmolosha akiwaeleza Waheshimiwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania aina mbalimbali za mbegu zinazozalishwa katika Mashamba ya Jeshi...
View ArticleSteve Kileo na Neema wameremeta Leo
Mdau Steve Kileo na Mai Waifu wake Neema wakibeba keki kuipeleka kwa wazazi,katika mnuso wa kumeremeta kwao unaoendelea hivi sasa kwenye ukumbi wa Hellenic club jijini Dar. Video na Picha zaidi...
View Articlebalozi wa tanzania nchini malawi,mh Patrick Tsere atoa msaada wa mahindi kwa...
Pichani ni Balozi wa Tanzania nchini Malawi, mheshimiwa Patrick Lusiano Tsere, akitoa msaada wa chakula cha mahindi, kwa wananchi wa Malawi ambao ni wakazi wa wilaya ya Mangochi walioathirika na...
View ArticleSMILE COMMUNICATION YAWAKARIBISHA KATIKA BANDA LAO LILILOPO KATIKA VIWANJA...
Mmoja wa Wafanyakazi wa Kampuni ya Smile Wauzaji wa Router kwa ajili ya matumizi ya intaneti akiwa na tabasamu la nguvu kama jina la kampuni anayoifanyia kazi katika banda lao lililopo katika Viwanja...
View ArticleSerikali yaanza utekelezaji ripoti ya APRM
Mpango wa Afrika Kujithmini Kiutawala Bora (APRM) umesema kuwa Serikali ya Tanzania imeanza kutekeleza maoni ya wananchi yaliyotolewa kwa nyakati mbalimbali nchini na kuingizwa katika ripoti ya Mpango...
View ArticleUS President Barack Obama on DRC
US President Barack Obama responds to a question regarding DRC during a joint press conference with President Jakaya Kikwete at the State House in Dar es salaam on July 1, 2013
View Articlebanda la lapf sabasaba kumekucha!
Meneja wa LAPF Kanda ya Mashariki akiongea na waandishi wa habari juu ya siku ya LAPFiliyofanyka katika viwanja vya Saba Saba jijini Dar es salaam. Alizungumzia pia juu ya juu ya tuzo iliyotolewa na...
View ArticlePost Smart Partneship Dialogue 2013 Message by Joint Dialogue Convener Dr...
I want to once again congratulate and thank all of you on behalf of Ambassador Sefue and myself - whether you were able to join us in Dar es Salaam or not - for all your Pre-Dialogue contributions,...
View ArticleKATIKA KUADHIMISHA SIKUKUU YA SABASABA, WANABIAFRA WAKIMBIA ZAIDI YA KILOMITA 8
Kama ilivyo ada ya kila jumapili kufanya mazoezi ya mbio za pole pole (jogging) pamoja, leo Wanabiafra wamekimbia zaidi ya kilomita nane katika kuadhimisha sikukuu ya saba saba. Mbio hizo zilianza...
View ArticleRamadhan
To all wadausEnjoy peace and spirituality of the sacred month of Ramadhan.Its time to reboot your souls system and hit the restore button of your life
View ArticleWALEMAVU WA KUSIKIA WANUFAIKA NA HUDUMA ILIYOTOLEWA NA TAASISI YA STARKEY...
Nyota wa mchezo wa mpira wa miguu wa Marekani(American Football) Rays Lewis akimpa RaisDkt. Jakaya Kikwete zawadi ya kofia yenye nembo ya timu yake wakati nyota huyo alipomtembelea Rais Kikwete mjini...
View ArticleWANAGOSPEL EDSON NA AMBWENE MWASONGWE WAKIBURUDISHA KATIKA TAMASHA LA...
Waimba injili Ambwene Mwasongwe (kulia) na Edson (kushoto) wakiimba sambamba katika Tamasha la Matumaini 2013.Edson kazini.Ambwene Mwasongwe.Sehemu ya nyomi ikilipuka kwa burudani.
View ArticleRais kikwete akifungua tamasha la matumaini hivi sasa uwanja wa Taifa
Rais kikwete akifungua tamasha la matumaini hivi sasa uwanja wa Taifa,jijini Dar. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
View Article