Meneja wa LAPF Kanda ya Mashariki akiongea na waandishi wa habari juu ya siku ya LAPFiliyofanyka katika viwanja vya Saba Saba jijini Dar es salaam. Alizungumzia pia juu ya juu ya tuzo iliyotolewa na SSRA kwa LAPF kwa kuwa mfuko wa Hifadhi ya Jamii unaokua kwa kasi zaidi kwa idadi ya wanachama ukilinganisha na mifuko mingine.
Maofisa wa LAPF wanashiriki katika Maonesho ya Saba Saba wakiwa tayari kuwahudumia wananchi watakaotembelea banda lao
Afisa wa LAPF John Masawe akitoa maelezo kwa mwanachama aliyetembelea banda la LAPF.
Afisa Masoko wa LAPF Rehema Mkamba akitoa maelezo kuhusu Ushiriki wa LAPF katika maonesho ya Saba Saba.
Wanahabari wakipata maelezo juu ya mafanikio na utendaji wa LAPF