Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 116996 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wasanii wa Tamasha la Filamu Grand Malt watoa msaada wa vyandarua hospitali...

Wasanii mbalimbali wakiongozwa na Raymond Kigosi  wakikabidhi msaada wa vyandarua kwenye hospitali ya mkoa wa Mwanza Sekou-toure, kwa katibu wa afya wa Hospitali  hiyo Bwa.Daniel Temba ikiwa ni sehemu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASANJA, SHILOLE WAFIKA ULIPO MJENGO WA UBALOZI WA TANZANIA MAREKANI

 Juu na chini ni Wasanii Masanja Mkandamizaji na Shilole wakiwa nje ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania, Washington, DC mara walipopita na kupiga picha nje ya mjengo Jumapili June 30, 2013 walipokua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Treni ya 'Mwakyembe yapata jali alfajiri ya leo,kesho kutotoa huduma kabisa

Leo mnamo saa 11:30 asubuhi vichwa viwili vya treni ya huduma la jiji la Dar es Salaam vilipata ajali ya kugongwa na roli la mizigo aina ya Fusso katika makutano ya reli na barabara ya Kawawa jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAUGUZI WA AFRIKA MASHARIKI WAFANYA MKUTANO ZANZIBAR

Wazira wa Afya Juma Duni Haji, akifungua Mkutano wa Wauguzi wa Afrika Mashariki kulia Clavery Mpandana Muguzi Mkuu Tanzania ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Uuguzi Afrika Mashariki kushoto Katibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USIKU WA MATUMAINI J'PILI HII: SAA 16 ZA MAAJABU

Na Mwandishi WetuSIYO siri, Julai 7, mwaka huu (Siku ya Sabasaba), anga lote la Jiji la Dar es Salaam litasimama kwa muda wa saa 16. Burudani mfululizo pamoja na matukio ambayo hayajawahi kushuhudiwa,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPOKEZI YA RAIS OBAMA IKULU, NA MKUTANO WAKE NA WANAHABARI JIJINI DAR LEO

Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle Obama wakipokewa kwa Shangwe Ikulu,Jijini Dar es salaam mchana wa leo.Rais Barack Obama wa Marekani na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WWF Praises President Obama For Major Pledge During Africa Visit To Tackle...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USIKU WA TUDD THOMAS WAFANA NDANI YA DAR LIVE

Wasanii mbalimbali wakiwemo Marlaw, Izzo B, Chegge, Tundaman, Mhe. Temba, Amin, Queen Darleen, Quick Lacka, Baghdad, Scorpion Girls, Makomandoo na wengineo usiku wa kuamkia leo walifanya makamuzi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAADHIMISHO YA SIKU YA SERIKALI ZA MITAA YAFANA IRINGA MANISPAA YA IRINGA

Mbunge Msigwa na  mkuu  wa  wilaya ya  Iringa  wakitazama  ndizi aina ya Jamaica inayolimwa Mtwivila Iringa iliyoletwa katika maonyesho ya  serikali za mitaa mjini IringaMbunge wa jimbo la Iringa mjini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais,Dkt. Bilal afunga Mkutano wa siku tatu wa Viongozi wa...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mommmed Gharib Bilal, akifunga Mkutano wa siku tatu wa Viongozi wa Kimataifa wenye lengo la kutokomeza njaa Barani Afrika .Mkutano huo ulimazika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFALME MSWATI WA SWAZILAND AAONDOKA NCHINI

Mfalme Mswati wa Swaziland akisindikizwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipoondoka kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam kurejea nyumbani baada ya kufungua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WINDHOEK SABA SABA PAVILION

Come visit our completely renovated Windhoek Pavilion & VIP Lounge! Air conditioning, restrooms, a new stage & sound system added for 2013! Arrive early and beat the traffic, as this pavilion...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBUKUMBU

KUMBUKUMBU YA MWAKA MMOJA YA MAREHEMU MAMA OSITHA JOHN JAKA Hatimaye siku , miezi imepita hadi hii leo ambapo imetimia mwaka mmoja (1) tangu ulipofariki mchana ule wa siku ya Jumatatu, JULAY, 2,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI YA ACOT IMEWEZA KUTWAA UBINGWA WA EAST AFRICA CUP 2013

KATIKA MASHINDANO HAYA YA EAST AFRICAN CUP HUJUMUISHA VIJANA MBALIMBALI WENYE UMRI KATI YA MIAKA 13 HADI 16, KUTOKA NCHI ZOTE ZA AFRIKA MASHARIKI. TIMU ZILIZOSHIRIKI MWAKA HUU ZILITOKA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO MKUU WA TANO WA WADAU WA MFUKO WA GEPF WAFANA MJINI ARUSHA

Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka akifungua Mkutano Mkuu wa tano wa wadau wa mfuko huo ulifanyika jijini Arusha.Mkurugenzi Mkuu wa GEPF, Daudi Msangi akifafanua jambo. Mkurugenzi Mkuu wa...

View Article


KONGAMANO LA WAZI NA UZINDUZI WA MPANGO WA KULETA MATOKEOMAKUBWA SASA KWA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF yatoa ngao kwa washindi wa Mashindano ya TIKA

Naibu Waziri wa Elimu katika Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Kassim Majaliwa akikabidhi ngao iliyotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa mshindi wa mashindano ya TIKA yaliyofanyika mjini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU ANNA BWENDA NTAMUBANO

MAREHEMU ANNA BWENDA NTAMUBANO.FAMILIA YA NTAMUBANO WA MUGOMA,NGARA INAWATANGAZIA RATIBA YA MAZISHI YA MPENDWA WETU ANNA BWENDA NTAMUBANO YANAYOTARAJIA KUFANYIKA SIKU YA JUMATANO TAREHE 3 JULAI.SAA...

View Article

mapokezi ya rais barack obama wa marekani

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS BARACK OBAMA WA MAREKANI AMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU MBILI HAPA NCHINI

Rais Barack Obama wa Marekani ameondoka nchini mchana huu kurudi nchini Marekani,baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili hapa nchini iliyoanza jana.Rais Obama na mwenyezi wake Rais Jakaya Kikwete,...

View Article
Browsing all 116996 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>