MKURUGENZI WA SOKO LA AJIRA VETA ATEMBELEA BANDA LA VETA KATIKA MAONESHO YA...
Umeonaa! Hivi ni kazi yangu nikimaliza najiajiri. Ndivyo anavyoelekea kusema mwanafunzi Paulina Emmanuel anayejifunza masuala ya ubunifu wa mavazi na mitindo katika chuo cha VETA Chang’ombe Dar es...
View ArticleKaskazini Unguja yaongoza kwa ajali barabarani
Na Salum Vuai, MaelezoWATU 52 wamepoteza maisha na wengine 332 wamejeruhiwa kutokana na ajali 175 za barabarani zilizotokea katika Mkoa wa Kaskazini Unguja kati ya Januari mwaka 2011 hadi katikati ya...
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE NA WAKE WA MARAIS WALIOKUWA KWENYE MKUTANO WA SMART...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiandamana na Mheshimiwa Inagosi Bulo kutoka DRC (kushoto) na Inkhosikati Lambikiza wa Swaziland na Mama Charlotte Scott wa Zambia wakiwa nje ya banda la Zanzibar mara...
View ArticleHUDUMA ZA NSSF ZAVUTIA WENGI SABASABA
Banda la NSSF linavyoonekana kwa nje.Meneja Kiongozi Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume (wa pili kushoto) akiwa na baadhi ya maofisa waandamizi wa NSSF katika...
View ArticleSHILOLE NA MASANJA WAHUDHURIA TAMCO FAMILY DAY DMV
Shilole (kati) akipata picha ya pamoja na Bwn. Idd Sandaly(kushoto) Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV na mjumbe wa kamati ya maandalizi ya sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo na Tamasha la Utamaduni wa...
View ArticleMama Kikwete awataka watanzania kuthamini bidhaa zinazozalishwa nchini
Watanzania wametakiwa kujifunza kuthamini vitu vya kwao na kuona kuwa ni bora zaidi kwa kufanya hivyo hata wageni watavipenda kwani bidhaa zinazozalishwa ndani ya nchi hazitapandishwa thamani na watu...
View ArticleMNEC Magesa akutana na mjumbe wa NEC ya chama tawala cha Ghana mjini Accra
Mjumbe wa NEC Ndg. Phares Magesa akisalimiana na Mjumbe wa NEC ya Chama tawala Cha Ghana Mhe. Mensah ambaye ni Mbunge wa Greater Accra na Waziri wa Serikali ya Ghana walipokutana katika mazungumzo...
View ArticleWATU HAWA WANATAFUTWA NA JESHI LA POLISI KOKOTE WALIPO
Jeshi la Polisi linazo taarifa za kuaminika kuhusu watu hawa, wanaoonekana katika hizo picha hapo chini, ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo vikubwa vya kihalifu hapa nchini na katika maeneo...
View ArticleNIPO TAYARI KUUTUMIKIA UMOJA WA MATAIFA –LUTENI JENERALI MELLA
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akiwa na Mkuu mpya ya UNAMID Luteni Jenerali Paul Ignace Mella na kulia ni Luteni Jenerali Wynjones Mathew Kisamba Naibu...
View ArticleMFALUME MSWATI III WA SWAZILAND AZINDUA RASMI MAONESHO YA BIASHARA YA...
Mfalume Mswati III wa Swaziland akitoa hotuba yake wakati wa Uzinduzi Rasmi wa Maonesho ya Biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya Sabasaba, Jijini Dares Salaam(Kushoto kwa King Mswati III) ni Waziri...
View ArticleWajasiliamali wa Safari Wezeshwa jijini Mwanza,wakabidhiwa vifaa vyao
Mkuu wa Wilaya ya Mwanza,Amina Masenza(wa pili kushoto) akimkabidhi mjasiliamali Trekta(Power Tiller) na tela lake ,Shingi Jumanne wakati wa hafla ya kukabidhi ruzuku kwa wajasiliamali waliofuzu katika...
View ArticleMAANDALIZI YA MAPOKEZI YA OBAMA YAKAMILIKA, TASWIRA ZA IKULU ASUBUHI HII
Taswira mbalimbali zinazoonesha maandalizi ya mapokezi makubwa ya Rais wa Marekani Barack Obama atapowasili Ikulu jijini Dar es salaam mchana huu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kama ilivyo kawaida yake...
View ArticleMorogoro, Mwanza, Temeke wapata mabingwa ARS
Kiungo wa timu ya Garden, Juma Masoud (kulia) akiwania mpira na beki wa Mapambano, Said Ally katika mchezo wa fainali mashindano ya Vijana U-17 Airtel Rising Stars,kwenye Uwanja wa Tualipo Dar es...
View ArticleRAIS BARACK OBAMA AWASILI NCHINI MCHANA HUU
Rais Barack Obama wa nchini Marekani na Mkewe Michelle Obama wakiwa sambamba na watoto zao,wakiwasili chana huu kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere,jijini Dar es Salaam mchana huu...
View Article