$ 0 0 Mjumbe wa NEC Ndg. Phares Magesa akisalimiana na Mjumbe wa NEC ya Chama tawala Cha Ghana Mhe. Mensah ambaye ni Mbunge wa Greater Accra na Waziri wa Serikali ya Ghana walipokutana katika mazungumzo binafsi mjini Accra, Ghana jana.