Mbunge Msigwa na mkuu wa wilaya ya Iringa wakitazama ndizi aina ya Jamaica inayolimwa Mtwivila Iringa iliyoletwa katika maonyesho ya serikali za mitaa mjini Iringa
Watangazaji wa kituo bora cha matangazo cha televisheni ya Manispaa ya Iringa (IMTV) wakiwa katika banda lao la maonyesho leo katika viwanja vya Mwembetogwa mjini Iringa (picha zote na Francisgodwin Blog -mzee wa matukio daima)