MAREHEMU ANNA BWENDA NTAMUBANO.
FAMILIA YA NTAMUBANO WA MUGOMA,NGARA INAWATANGAZIA RATIBA YA MAZISHI YA MPENDWA WETU ANNA BWENDA NTAMUBANO YANAYOTARAJIA KUFANYIKA SIKU YA JUMATANO TAREHE 3 JULAI.
SAA TANO ASUBUHI KUTAKUWA NA CHAKULA CHA PAMOJA
IKIFUATIWA NA
KUAGA MWILI KUANZIA SAA SITA MCHANA
(NYUMBANI KWA MAREHEMU SINZA MUGABE).
SAA SABA KAMILI KUTAKUWA NA MISA YA KUMUOMBEA MAREHEMU KWENYE
KANISA LA KKKT SINZA KUMEKUCHA.
BAADA YA HAPO TUTAKUSANYIKA KWENYE MAKABULI YA KINONDONI KUANZIA SAA TISA KWA AJILI YA
MAZISHI.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIBARIKIWE.

IMETOLEWA NA FRED ZG SSEBUYOYA.