Rais Kikwete ampongeza Askofu Mkude kutimiza miaka 25 ya Uaskofu
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza askofu Telesphori Mkude wa jimbo katoliki Morogoro wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 25 ya Uaskofu wake (Silver Jubilee)zilizofanyika katika viwanja...
View Articlebalozi sef ali iddi akutana na kamati ya mapinduzi cup leo
Na Othman Khamis AmeTimu zipatazo 13 za Mchezo wa Soka za Kitaifa na Kimataifa zinatarajiwa kushiriki katika mashirndano ya Kombe la Mapinduzi yanayotarajiwa kufanyika ndani ya kipindi cha Maadhimisho...
View ArticleVote for Richard Kazimoto in the Under-30 Youth innovation award
Vote for Richard Kazimoto in the Under-30 Youth awards via http://www.youthawards.or.tz/polls.htmlRichard Kazimoto has been nominated in the innovation category and among his innovation is...
View ArticleMaadhimisho ya Magereza Day leo
Wasanii wa Bendi ya Magereza Jazz(Maarufu kwa jina na Mkote Ngoma) wakituumbuiza leo katika Maadhimisho ya Magereza Day yaliyofanyika katika Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga, Jijini Dar es Salaam.Picha...
View ArticlePPF yatoa msaada wa madawati kwa shule za msingi Mtwara
Kaimu Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Kanda ya Mtwara,Bi. Kauthar Nassoro (kushoto) akipeana mkono na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya Mtwara,Bw. Ally Mpenye wakati wa zoezi la kukabidhi...
View Articleamsha amsha za Tamasha la Kili Music Tour 2013 ndani ya Uwanja wa Jamhuri...
Jukwaa liko tayari kwa Show Babkubwa itakayoangushwa na Wasanii mbali mbali waliopo kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013 ndani ya Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma hivi sasa.ambapo leo hii ni...
View Articlekijana aliyevujisha taarifa nyeti za mawasiliani ya watu marekani afunguliwa...
Na Ripota wetu WashingtonKijana Edward J. Snowden (pichani), mfanyakazi wa zamani wa wakala wa Usalama wa Taifa wa Marekani (NSA) aliyevujisha nyaraka nyeti zinazohusu mawasiliano ya watu yanayonaswa...
View ArticleDKT FENELLA MUKANGARA afungua Semina ya UVCCM Kinondoni na Kukabidhi Vifaa...
Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo ambaye pia ni mjumbe wa NEC Dkt Fenella Mukangara akibidhi vifaa vya michezo kwa Katibu wa UWT kata ya Ubungo Bi. Rose Ndunguru.Vifaa hivyo vimetokana na...
View ArticleMdau Kelvin Msuya na Gladys Munanka wameremeta usiku huu
Maharusi Kelvin Msuya na Gladys Munanka wakiwa katika mnuso wao wa kumeremeta unaofanyika usiku huu ndani ya Ukumbi wa Diamond Jubilee hall Jijini Dar es Salaam baada ya kumeremeta katika kanisa la...
View ArticleTamasha la Kili Music Tour 2013 lafana sana ndani ya Uwanja wa Jamhuri Mjini...
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Linex akiwasalimia mashabiki na wapenzi wa Muziki waliofurika kwa wingi ndani ya Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma leo,ambapo usiku huu kulikuwa na bonge moja la Show ya...
View Articletaswira mbalimbali toka accra, ghana, leo
Askari polisi wa jiji la Accra wakiongoza na kuhakikisha usalama wa washiriki kutoka nchi mbalimbali za Afrika zipatazo 20 wakati wa Maandamano na mbio fupi kuadhimisha Siku ya Utumishi wa Umma Barani...
View Articlekikao cha kawaida cha kujadili kero za muungano chafanyika dodoma leo
Kikao cha kawaida cha kamati ya pamoja kati ya Viongozi na wataalamu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kimekutana kujadili changamoto mbali mbali...
View Article