GARI INAUZWA
Make: IVECO 4x4Kilometer: 16000 - 20000Sitting capacity: 23 pamoja na derevaExtras: Ina fridge (chumba) kikubwa kinachoweza kuhifadhi jeneza.Price: Sh.55 milioni (mazungumzo yapo) bila dalali wala...
View ArticleSherehe ya 48 ya kuwakubali na kuwasajili Mawakili wapya Katika viwanja vya...
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman ( wa pili kulia), Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Fakih Jundu (wa kwanza kulia),na Majaji wa Mahakama ya Rufani pamoja na Naibu...
View Articlewawili mbaroni kwa kumshambulia mbunge Machali wa NCCR-Mageuzi
Na. Jeshi la Polisi Dodoma.Jeshi la Polisi Mkoa Dodoma linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kumvamia na kumshambulia Mheshimiwa MOSES S/O MACHALI, miaka 31, Muha, Mbunge wa Kasulu Mjini kupitia...
View ArticleBalozi Seif Iddi amtembelea Sheha aliemwagiwa Tindikali huko...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimuaga Sheha wa Shehia ya Tomondo Mohd Omar Said { Kidevu } anayekwenda Nchini India kwa Uchunguzi na Matibabu zaidi baada ya kumwagiwa Tindi...
View ArticleWateja watano wajizolea Milioni 2 kila mmoja za Cheka Nao
Meneja wa Idara ya Malipo ya Kabla wa Vodacom Tanzania, Yvonne Maruma (katikati) pamoja na Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo Bw.Matina Nkurlu (kushoto) wakichezesha droo kubwa ya Promosheni ya Cheka Nao...
View ArticleSHULE INAUZWA MKOANI GEITA
MKURUGENZI WA KADI'S INVESTIMENT LTD ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA ANAUZA SHULE YAKE YA KADI'S ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL ILIYOPO WILAYANI BUKOMBE MKOANI GEITA. SHULE INAENEO LA HEKA KUMI...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI KWENYE ENEO MAALUM LA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia wakazi wa jijini Tanga, wakati alipofika eneo la Pongwe jijini Tanga leo Juni 21, 2013 kwa ajili ya kuweka...
View ArticleRADIO ONE YAMFAGILIA DK. ASHA-ROSE MIGIRO KWA KUKIENZI KISWAHILI
Dr. Asha-Rose MigiroNAIBU Katibu Mkuu Mstaafu wa Umnoja wa Mataifa, Dk. Ash-Rose Migiro amesifiwa kwa umahiri wa wake wa kutoingiza athari za kiingereza katika kiswahili, anapozungumza au kuhutubia,...
View ArticleKIKAO CHA PAMOJA CHA KUJADILI CHANGAMOTO ZA MUUNGANO MJINI DODOMA LEO
Kutoka kushoto, katibu mkuu ofisi ya makau wa raisi bwana Sazi Salula, waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais Muungano mh. Samia Suluhu Hassan, mwenyekiti wa mkutano,Mh Ali Juma shamhuna waziri wa...
View ArticleSERENGETI FREIGHT FORWARDERS LTD WAZEE WA KAZI
TUNAHITAJI MADEREVA WAWILI WA MAGARI MAKUBWAGOOD NEWS FOR TANZANIAHUDUMA MPYA YA KIFURUSHI NEW DOOR TO DOOR SERVICETUNACHUKUA MZIGO MLANGONI KWAKO UK NA TUTAUFIKISHA MLANGONI KWAKO DARUKILIPA HAPA UK...
View Articlemnara wa kumbukumbu ya marehemu Dkt Wilbert Kleruu
Wakazi wa Mkungugu tarafa ya Isimani wilaya ya Iringa vijijini wakipita jirani na mnala wa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Iringa marehemu Dkt. Wilbert Kleruu aliyeuwawa kwa kupigwa risasi na...
View ArticleLUCY TOMEKA ANYAKUA TAJI LA REDDS MISS KINONDONI 2013
Mshindi wa Redds Miss Kinondoni 2013, Lucy Tomeka akivalishwa taji lake na mrembo aliyekuwa akilishikilia taji hilo Redds Miss Tanzania 2012/2013, Bright Alfred. Lucy Tomeka aliweza kuchukua taji hilo...
View Articlelango kuu la mji wa singida
Unapoingia mji wa Singida ukitotokea Babati unakaribishwa na majabali haya ambayo wajenzi wa barabara wameamua kuyaacha ili kupendezesha mandhari na kutunza mazingira halisi.
View ArticleElikana, Eliud: Watoto walioungana wanaotumia njia moja kujisaidia: Kupelekwa...
Na Vicky Kimaro, MwananchiDar es Salaam. “Madaktari waliponiambia kuwa watoto wangu wameungana nilichanganyikiwa, niliona dunia imenigeuka, sikuwahi kuwaza nitakutana na kitu cha namna hii katika...
View ArticleMachinga wakiendeleza libeneke eneo la Ubungo Mataa
Kamera Man wa Globu ya Jamii,leo amefanikiwa kuzinasa taswirazz hizi za Wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga katika Mataa ya Kuongozea Magari,Ubungo Jijini Dar.Vijana wengi hapa...
View ArticleSpika wa Bunge Mstaafu,Mh. Samuel Sitta aagwa rasmi mjini Dodoma
Meza kuu wakati wa hafla hiyoSpika wa bunge Anne Makinda akizungumza katika hafla ya kumuaga Spika Mstaafu Samuel Sitta kwenye viwanja vya bunge Mjini Dodoma juni 21, 2013.Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu...
View ArticleFriends Rangers kuendeleza kichapo dhidi ya Stand United
Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), Almas Kassongo (kushoto) akimkabidhi Sh 500,000, Meneja wa Friends Rangers, Shaaban Marsila mara baada ya timu hiyo kufuzu kucheza...
View ArticleMatofali yakipigwa sop sop
Mdau akipiga sop sop Matofali ikiwa ni sehemu ya kuyafanya yaimarike,kwani bila hivyo tofali ni sawa na bure kabisa.
View Article