Afisa Mazingira wa Kinondoni aongoza zoezi la Upandaji Miti Shule ya Msingi...
Afisa Mazingira wa Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni,Bi. Merry Komba akishirikiana na Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Fimbo Butallah kupanda mti kwenye eneo la Shule ya Msingi Mlimani...
View ArticleKUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu mawali Bungeni Mjini Dodoma leo Juni 20,2013. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Kuteuliwa, Joseph Mbatia, Bungeni Mjini Dodoma Juni 20,2013. Wabunge wa...
View ArticlePresident Kikwete meets African Pioneers Against AIDS Scourge
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete pose for a group photograph with some members of African leaders who are pioneers of War against AIDS pandemic in Africa. From left a Kenyan Public Health advocate...
View Article(COSTECH) IN COLLABOLATION WITH RESEARCH AFRICA FROM SOUTH AFRICA FACILITATE...
The Tanzania Commission for Science and Technology (COSTECH) in collaboration with Research Africa from South Africa has conducted a two day science communication training from 19th -20th June 2013 at...
View ArticleWe are now in the Final Countdown to Global 2013 Dar es Salaam
DR MIHAELA SMITH CHIEF EXECUTIVE/JOINT CONVENER
View ArticleNews alert: Mbunge wa Kasulu Mjini Mhe. Moses Machali ashambuliwa na watu...
Habari kutoka Dodoma zinasema Mbunge wa Kasulu Mjini kupitia chama cha NCCR-Mageuzi, Mhe. Moses Machali (pichani), amelazwa katika hospitali ya mkoa ya Dodoma kuuguza majeraha aliyoyapata baada ya...
View ArticleWADAU TUCHANGAMKE HAPA: NAFASI ZA AJIRA ZA KADA ZA AFYA KWA MWAKA 2012/2013
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMIINAFASI ZA AJIRA ZA KADA ZA AFYA KWA MWAKA 2012/2013Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, anapenda kuwaarifu Wataalamu wa Kada za...
View ArticleMakampuni ya simu kupandisha gharama Julai Mosi - MOAT
Kufuatia kuongezwa kwa kodi katika huduma za simu za mkononi , gharama za huduma hizo zinatajiwa pia kuongezeka kuanzia Julai Mosi mwaka huu.Taarifa ya pamoja iliyotolewa jijini Dar es salaam na Umoja...
View ArticleMh. January Makamba kuwa mgeni rasmi Redd's Miss Tanga 2013
NAIBU Waziri wa Sayansi na Tekinolojia January Makamba,anatarajia kuwa mgeni rasmi, katika shindano la umsaka malikia wa Redd's Miss Tanga 2013 linalotimua vumbi katika uwana wa Mkwakwani Mkoani...
View ArticleArticle 15
CENTURY CINEMAX MLIMANI CITY NOW SHOWING:(21 - 27 JUNE 2013) MAN OF STEEL 3D[PG-13]*Henry Cavill2 pm* / 4:30 pm / 7:15 pm & 10 pmFor more info CLICK HERE
View ArticleYALIYOJIRI KATI YA TIMU YA BENKI YA NMB NA WABUNGE JIJINI DODOMA MWISHONI MWA...
Katika kuendeleza na kuimarisha mahusiano mazuri kati ya Benki ya NMB na waheshimiwa wabunge, Benki ya NMB iliandaa mtanange wa kukata na shoka ambao ulihudhuriwa na washabiki wa timu hizo mbili ambao...
View ArticleMhe. Jaji Mkuu awaapisha Mawakili wapya 127 jijini Dar es Salaam Leo
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akimpongeza mmoja wa Mawakili wapya 127 walioapishwa leo asubuhi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Picha na Mary Gwera
View ArticleMHE. ALI HASSAN MWINYI MGENI RASMI, MASANJA, SHILOLE KUFANYA MAKAMUZI MIAKA 3...
Blog ya Vijimambo ikishirikiana na Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Washington, DC, Marekani na Jumuiya ya Watanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia wanapanga kusherehekea...
View ArticleTANGAZO LA MKUTANO WA WANA TABORA GIRLS (WARSAW) Juni 22, 2013
Ndugu uliyesoma Tabora Girls mwaka wowote ule, unakaribishwa katika kikao cha kupanga mikakati mbalimbali ya kuinuana. Mchango wa mawazo yako ni muhimu sana pia ni msingi imara wa umoja utakao anzishwa...
View ArticleTanzanite yawa kivutio Ghana.
Madini ya vito aina ya Tanzanite yanayopatikana na kuchimbwa Tanzania pekee duniani hapa yamekuwa kivutio kwa wananchi katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma-Afrika yanayoaendelea jijini...
View Article