Siku ya Ugonjwa wa Sikoseli Duniani yaadhimishwa jijini Dar es Salaam leo
Mwenyekiti wa Mfuko wa Sikoseli Tanzania, Grace Rubambey (katikati) akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya ugonjwa wa Sikoseli Duniani jijini Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Makamu...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA SIKU 4 WA MAWAKALA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe, wakati alipowasili kwenye Hoteli ya Double Tree, kwa ajili ya...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA ATEMBELEA MAHAKAMA ZA MWANZO ZA WILAYA YA...
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Angella Kairuki (mwenye koti la pink) akimsikiliza Bw. Paschal Mayumba Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo Mvumi Makulu anayehudumia Mahakama ya Mwanzo Mvumi...
View ArticleDIAMOND AAHIDI KUMFUNIKA VIBAYA PREZZO SHOO YA USIKU WA MATUMAINI 2013
Diamond akilonga na Sauda kuhusu shoo kali atakayotoa Usiku wa Matumaini 2013.Na Wilbert MolandiMKALI wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond’ ametamba kufanya shoo kali ikiwemo kumfunika msanii wa...
View ArticleAirtel hands over football kits to U-17 Airtel Rising Stars teams
.Airtel Tanzania has handed over jerseys, shin guards, balls and socks to teams taking part in this year's U-17 talent scouting football tournament known as Airtel Rising Stars whose regional level...
View ArticleMakamu wa Rais Dr Gharib Bilal Aagana na Mabalozi Wateule wa Tanzania...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mabalozi wateule wa Tanzania, wanaokwenda kuripoti kwenye Vituo vyao vya kazi nje ya nchi, wakati...
View ArticleBodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu yazungumzia matumizi ya M-pesa
Mkuu wa Idara ya Uendelezaji Biashara ya M-pesa Jackson Kiswaga akionesha jinsi M-pesa inavyoweza kuboreshwa kukidhi mahitaji zaidi ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu ambayo huitumia huduma hiyo kama...
View Articleumbea wa nathan mpangala a.k.a kijasti
Kwa katuni kedekede, tembelea jarida lako la katuni la mtandaoni, 'nathan cartoon magazine' kila Alhamis. Leo lipo angani kupitia chochoro hii,www.nathanmpangala.blogspot.com
View ArticleBig guns for DStv’s SuperSport Confed Cup screening
An illustrious panel of football experts has been assembled by SuperSport to provide unprecedented coverage of the Confederations Cup, that recently started in Brazil.They include Sunday Oliseh, Shaun...
View Articlearobaini ya mtoto wa mwana biafra
Wanabiafra pamoja na marafiki wengine kwa pamoja walijumuika nyumbani kwa Mwenyekiti wa Biafra Bw. Abdul Mollel pamoja na mkewe Bi. Evelyine katika arobaini ya mtoto wao Mollel Jr. Fuatilia matukio...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA UTUMISHI WA UMMA BARANI AFRIKA 2013 YAENDELEA MJINI ACCRA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina O. Kombani akisani kitabu cha wageni. Picha zote na Scola Malinga – Hazina- Tanzania.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya...
View Articlemsaada tutani
Ankal,Habari, naitwa Upendo, naomba uniweke katika blog hii ya jamii natafuta mchumba hatimae tufike katika ndoa, mchumba ninaehitaji awe na umri kati 49-55.Pia hii ni mara ya pli kukuandikia je naomba...
View ArticleRais Kikwete akutana na wajumbe wa Benki ya BADEA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Benki ya kiarabau kwa maendeleo ya Afrika BADEA wakati wajumbe hao walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar...
View ArticleMWENYEKITI WA CHADEMA PAMOJA NA MBUNGE WA JIMBO LA ARUSHA WASHIKILIWA NA...
Mahmoud Ahmad,ArushaMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni,Freeman Mbowe na Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini,Godbless Lema wanashikiliwa na Jeshi la...
View Article