$ 0 0 Unapoingia mji wa Singida ukitotokea Babati unakaribishwa na majabali haya ambayo wajenzi wa barabara wameamua kuyaacha ili kupendezesha mandhari na kutunza mazingira halisi.