kelvin msuya na Gladys Munanka wameremeta
Kelvin Msuya akitambulisha familia yake wakati wa mnuso wa kumeremeta kwao katika ukumbi wa Diamond Jubilee VIP hall jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo Maharusi wakiandaa keki kwa ajili ya...
View ArticleUrgent Prayer for Peace in Arusha-Tanzania
Dear Tanzanians and Friends, I greet you all in the name of Jesus. I’m sure you all have heard the bombs that were detonated in Arusha, Tanzania that resulted in chaos and death of innocent civilians....
View ArticleViongozi wa Serikali, dini na vyama vya Siasa watakiwa kutumia majukwaa yao...
Anna Nkinda – Maelezo, aliyekuwa MbeyaVIONGOZI wa Serikali, Dini na Vyama vya Siasa nchini wametakiwa kuondoa tofauti zao na kutumia majukwaa kuhubiri amani na upendo ili kudumisha mshikamano na...
View ArticleMWENYEKITI UVCCM TAIFA APINGA MFUMO WA SERIKALI TATU
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma Hamisi (katikati) akiwa na mwenyekiti wa UVCCM kilimanjaro, Fredrick Mushi (kulia) na Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Aluu Segamba katika Hafla ya...
View Articlemaisha ya mpiga picha wa rais obama
Watch Full Program on PBS. See more from The Presidents Photographer.
View ArticleSHY-ROSE BHANJI AKUNWA NA MISWADA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI
Katibu wa Wabunge wa Tanzania Katika Bunge la Afrika Mashariki, Mhe. Shy-Rose Bhanji akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu miswada mbalimbali...
View Articlemdau wa globu ya jamii abwia nondozzz ya PHD Finland
Dkt Frateline Mlashani Kashaga wa Helsinki, Finland, ni mdau wa siku nyingi wa blog ya jamii katika nchi hiyo ambayo Globu ya Jamii ilizaliwa mwaka 2005. Tangia April, 2008 mpaka mwaka huu 2013...
View ArticleAzimo la Mazingira bora na salama kwa waandishi wa habari wakiwa kazini...
Mgeni rasmi katika uzinduzi wa Tamko la Mount Meru la kuwalinda waandishi wa habari wakiwa kazini Afrika Mashariki, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika Bw. Francis Stolla akizungumza machache...
View ArticleMKUU WA MKOA WA RUKWA AONGOZA WAUMINI WA KANISA KATOLIKI EMAUS CENTRE UBUNGO...
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhandisi Stella Manyanya akizungumza na waumuni wa kanisa katoliki Emaus Centre Ubungo Jijini Dar walioshiriki katika ibada ya kupanda mbegu hivi karibuni. Mkuu huyo wa Mkoa...
View ArticleTenga kufunga kozi ya makocha Dar
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodger Tenga anatarajia kuwa mgeni rasmi katika ufungaji wa kozi ya makocha wa ngazi ya pili (Intermediate) itakayofanyika Jumanne kwenye Uwanja wa...
View Articlenyumba inauzwa
Nyumba iko Bunju karibu na shule ya Moga, Dar es salaam.Nyumba hii tayari ina title deed Mawasiliano:0659 683771 au 0655227507 email add:misasophie@yahoo.com
View Articlemashabiki wampopoa ommy dimpoz kwa chupa jukwaani
Wajuzi wa mambo wanasema kisa cha kupopolewa kwa chupa wakati akiburudisha huko Dodoma usiku wa jana, ni kutokana na taarifa zilizoandikwa kwenye gazeti moja la udaku kuwa alimsema vibaya mwanamuziki...
View Articlemaadhimisho ya miaka 50 ya KKKT yafana sana leo Makumira
Watoto wakiwa na mishumaa wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha miaka 100 ya KKKT leo katika usharika wa Chuo Kikuu cha Tumaini,Makumira, Usa River, Arusha Mkuu wa KKKT Askofu Alex Gehaz...
View ArticleAWAMU YA PILI YA MAJINA YA WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA NA KAMBI ZA JKT...
JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) LINAWATANGAZIA VIJANA WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA 2013 NA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA JKT KATIKA MAKAMBI YARUVU PWANI, MGAMBO TANGA, MSANGE TABORA, BULOMBORA KIGOMA, MARAMBA...
View ArticleAAR NA CRDB KUTOA MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA NDANI
Mwishoni mwa wiki AAR imetoa huduma ya bure ya mafunzo kwa wafanyakazi wa nyumbani kwa wafanyakazi wa CRDB . Programu hii iliandaliwa na kutolewa na idara ya huduma ya washauri wa kampuni ya bima ya...
View ArticleWakazi wa Mbagala waifurahia Promosheni ya Cheka Nao wasema ni mkombozi
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu(kulia)akimwelezea Bi.Tumu Saidi ambae ni mkazi wa Mbagala,Dar es Salaam manufaa na faida za kujiunga na Promosheni ya Cheka Nao inayowawezesha...
View ArticleUKISTAAJABU YA MUSSA..............:Mwanamke aoa WAUME wawili
MWANAMKE mkazi wa kijiji cha Ikandamoyo, wilayani Katavi, Veronica Saleh ‘Mama Kaela’ (50), amefanya uamuzi adimu wa kuolewa na wanaume wawili ambao anaishi nao kijijini hapo.Kijiji hicho kipo umbali...
View Article