Askari polisi wa jiji la Accra wakiongoza na kuhakikisha usalama wa washiriki kutoka nchi mbalimbali za Afrika zipatazo 20 wakati wa Maandamano na mbio fupi kuadhimisha Siku ya Utumishi wa Umma Barani Afrika katika mtaa Mkuu wa Opera, maarufu kwa jina la High Street Opera Square Ministries, jijini Accra
Soko maarufu la Makola jijini Accra bidhaa zikiwa zimepangwa kila kona.
Kariakoo ya Ghana!!, maarufu kama MAKOLA pilikapilika za wachuuzi na wanunuzi zikiendelea kwa mbali kulia kule ni madafu ya kukata kiu
moja ya bango la maduka ya bidhaa za Elekroniki sokoni MAkola jijini Accra likiwa na baadhi ya maneno kama ya Kiswahili kwa kutohoa kutoka lugha ya Kiingereza, ubunifu huo!!Picha na mdau Florence Lawrence