Nani kuibuka Miss Lindi 2013? Jibu tarehe 31 may ndani ya Lindi Beach Resorts
Na Abdulaziz video/Lindi yetu Blog Redd’s Miss Lindi 2013 atajulikana Usiku wa tarehe 31 may,2013 ndani ya ukumbi wa Lindi Beach Resort. Jumla ya Warembo Kumi watachuana Vikali kugombania taji hilo....
View ArticleThe Goats are Here! Dar es Salaam’s Goat Races this Saturday
Dar’s 13th annual charity Goat Races will take place on June 1 on The Green, Kenyatta Drive, Msasani, Dar es Salaam. The family fun day attracts thousands of people and raises millions of shillings for...
View ArticleSafari Lager yafungua Mafunzo kwa Wajasiliamali wa Wezeshwa
Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo akisisitiza jambo wakati wa kuzungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Ufunguzi wa Mafunzo ya Wajasiliamali waliofaulu kuingia kwenye...
View ArticleJeshi la Polisi Mkoani Lindi lawatia mbaroni watu wawili wanaodaiwa kuchochea...
Na Abdulaziz Video,LindiJeshi la Polisi Mkoani Lindi linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kusambaza taarifa za kupotosha wananchi zenye viashiria vya uchochezi na vitisho kwa serikali kwa lengo la...
View ArticleAsasi, Vyama na Makundi sasa ruksa kuunda Mabaraza ya Katiba
Na Mwandishi WetuTume ya Mabadiliko ya Katiba imetoa mwongozo unaoruhusu kuanza rasmi kwa uundwaji wa Mabaraza ya Katiba ya asasi, taasisi na makundi mbalimbali kwa lengo la kujadili na kutoa maoni...
View ArticleMkwawa Alumni Day @Makumbusho (opp. IFM) 22 June 2013!
Maandalizi yanafanyika kwa ajili ya kuwakutanisha wale waliosoma Shule ya Mkwawa, Iringa kuanzia mwaka 1965 hadi 2005 kabla ya kuwa sehemu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam- Mkwawa University College of...
View ArticleAirtel yazindua michuano ya Airtel Rising Stars 2013
Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel Tanzania Beatrice Singano Mallya akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa progam ya Airtel Rising Stars 2013 uliofanyika katika Ofisi za TFF jijini Dar...
View ArticleJAHAZI KUNOGESHA REDDS MISS ARUSHA
Na Woinde Shizza,ArushaBENDI ya Jahazi morden taarabu chini ya muimbaji mashuhuri Mzee Yusuph inatarajia kunogesha usiku wa kumsaka mlimbwende wa mkoa wa Arusha (Redd's Miss Arusha 2013) itakayofanyika...
View ArticleKatika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa...
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani Dk. Emmanuel Nchimbi akizungumza na wageni waalikwa wakati wa maadhimisho ya kuwakumba Askari wa Umoja wa mataifa wa Kulinda Amani yaliyofanyika kwenye viwanja vya...
View ArticleRais Kikwete awasili Japan Kuhudhuria Mkutano wa 5 TICAD
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Narita,Japan ambapo atahudhuria Mkutano wa tano wa (TICAD)unaofanyika katika mji wa...
View ArticleWAZIRI MKUU PINDA AFUNGA SEMINA YA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA MJINI DODOMA...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongoza kikao cha kujadili masuala ya Sensa kwenye ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma Mayy 29, 2013.Wa pili kulia ni Makamu wa Pili wa Rais SMZ,Balozi Seif Idd.Waziri Mkuu,...
View ArticleArticle 4
BTG Group LTD (www.btgforafrica.com) is holding a one-day workshop titled: Leadership Skills for the Global Marketplace. Attendees will receive training in: Business Negotiations Cultural Intelligence...
View ArticleShule ya Sekondari ya Aga Khan Mzizima yafanya mahafali kwa wahitimu wa...
Wahitimu wa kidato cha sita katika Shule ya Sekondari ya Aga Khan Mzizima jijini Dar es Salaam,wairusha juu kofia zao mara baada ya kutunukiwa vyeti vya kuhitimu elimu hiyo wakati wa mahafali yao...
View ArticleTASWIRA ZA RAIS WA ZANZIBAR NCHINI CHINA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na ujumbe wake wakitembelea sehemu mbali mbali za Kihistoria zilizopo katika makumbusho ya Mji wa Beijing nchini...
View ArticleTAARIFA YA KIFO
Marehemu Ernest Zulu 1957 - 2013Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Thomas Kashilillah anasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wa Ofisi ya Bunge Bwana Ernest Zulu aliyekuwa Afisa...
View Articlempiganaji Felix Mwagara na Lydia Mbonde wameremeta
Mpiganaji Felix Mwagara akikata ndafu na mai waifu wake Lydia Mbonde katika mnuso wao mara baada ya kumeremeta katika Kanisa Katoliki, Hai Mjini, Kilimanjaro. Felix na Lydia wakifungua muziki wakati...
View ArticlePOLISI YAWATOA HOFU WANANCHI DHIDI YA TAARIFA POTOFU
Na Frank Geofray,Jeshi la Polisi, Mtwara.Jeshi la Polisi nchini limewataka wananchi kutokuwa na hofu juu ya taarifa za kutoaminika na ambazo hazijafanyiwa uchunguzi zinazotolewa na baadhi ya watu...
View Article