Mashindano ya Kimataifa ya Chess yaja
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Spicenet Tanzania Ltd, Vinay Choudary (wa pili kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu mashindano ya Kimataifa ya mchezo wa Chess...
View ArticleNBC wamwaga misaada Taasisi ya Saratani ya Ocean Road
Muuguzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) Sr. Felista John (katikati aliyevaa gauni jeupe) akipokea msaada wa vyakula mbalimbali kutoka Meneja Uendeshaji Mikopo wa Benki ya Taifa ya...
View ArticleBreaking Nyuzzzz: Msanii wa Bongo Fleva,Mangwea afariki dunia
TAARIFA ILIYOTUFIJIA HIVI PUNDE,INAELEZA KUWA MSANII WA MUZIKI WA BONGO FLEVA,ALBERT MANGWEA (PICHANI) AMEFARIKI DUNIA HUKO NCHINI AFRIKA YA KUSINI.CHANZO CHA KIFO CHA MSANII HUYO BADO...
View ArticleKatibu mkuu wa ccm,ndugu kinana awakuna wakazi wa ludewa mkoani...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara wa CCM, kwenye Uwanja wa mpira mjini Ludewa mkoni Njombe, leo Mei 28, 2013. Kinana ambaye yupo katika...
View Articlesisi tutashiriki, wewe je??
Kuna mambo kusimamiwa kwake kidete ni kukaa chini, mengine ni kulala na mengine ni kusimama wima. Kukiwa na jambo au hali haulidhiki nayo, machaguo yako mengi kuonyesha hisia na hata msimamo wako. Yote...
View ArticleHOJA YA MDAU: Kwanini Adam Nditi asiitwe national team?
Nimesoma hoja hii kwenye blog moja kwamba Adam Nditi mchezaji wa Chelsea yuko tayari kucheza national team lakini hajawahi kuitwa na kuna baadhi ya wapenzi wanatoa lawama nzito kwa chama cha Mpira na...
View ArticleCCM YAFUNIKA MKUTANO WA LUDWA,NJOMBE
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara wa CCM, kwenye Uwanja wa mpira mjini Ludewa mkoni Njombe, leo May 28, 2013. Kinana ambaye yupo katika...
View ArticleDK.SHEIN AANZA RASMI ZIARA YAKE NCHINI CHINA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa nne kushoto)akiwa na ujumbe wake katika mazungumzo na Rais wa China Xi Jinping,(wane kulia) katika Ikulu ya Mjini Beijing...
View Articlekatibu wa bunge atoa pole kwa familia ya marehemu ernest zulu, ratiba ya...
Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashilila akimpa pole Theresia Mlekani ambaye ni mke wa Ofisa Habari Mwandamizi wa Bunge, Ernest Zulu wakati alipokwenda kuwapa pole wafiwa nyumbani kwao Ubungo Kibangu, Dar...
View ArticleKUKANUSHA TAARIFA YA GAZETI LA JAMHURI
TAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA VYOMBO VYA HABARIJeshi la Polisi nchini linapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa ambayo imekuwa ikiripotiwa katika gazeti la Jamhuri la siku ya Jumanne tarehe 21 – 27...
View ArticleCHAGONJA AWAFARIJI ASKARI WALIOCHOMEWA NYUMBA MTWARA
Na Frank GeofrayJeshi la Polisi, Mtwara.Kamishana wa Operesheni na Mafunzo Paul Chagonja (pichani) amefika mkoani Mtwara na kuwafariji Askari wote waliochomewa nyumba zao na wahalifu wakati wa vurugu...
View ArticleBrasilian Portuguese Teacher wanted
Hello Michuzi. I'm looking for a Brasilian Portuguese teacher. He/She'll be responsible for a class size of minimum 20 students in Dar es Salaam. The venue will be arranged. He is needed as soon as...
View ArticleNine acres, land Plot for sale Location: Kibaha Misugusugu
Ningependa kuwatangazia fursa hii hapa chini wadau wa maendeleo kutoka pande zote za dunia:Size: Nine acresPurpose: Industrial development & suitable for warehousesClean Land Title availableWater...
View ArticleSIKIA HII...
Walevi wa3 walikodi Bajaji, dereva aliwasha bajaji kutaka kuwapeleka wanapokwenda alafu akaizima alipoona wamelewa sana na moyo wake kusita kwamba hatolipwa pesa yake na kutakuwa na utata baadae. Mlevi...
View Article