USAHIHI WA MATUMIZI YA KASMA MAALUM YA UJENZI WA MIRADI YA BARABARA NCHINI...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA UJENZI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI30/05/2013Baadhi ya vyombo vya Habari vimekuwa vikitoa taarifa potofu kwamba kumekuwepo na upotevu wa shilingi...
View ArticleNay wa Mitego,Mb Dog na wengine kibao kukutana Dar Live jumamosi hii
ONYESHO kubwa ambalo ni uzinduzi wa Shindano la QS Queens 'Utamu Extra' linalotarajiwa kufanyika Jumamosi ya kesho ya Juni Mosi katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala, pia limepangwa kuwa sehemu maalum ya...
View Article"WAKAZI WA KIGOMA CHANGAMKIENI PROMOSHENI ZA VODACOM"
Rai hiyo imetolewa na Mzazi wa kijana aliyeshinda shilingi milioni 100, katika Promosheni ya “VODACOM MAHELA” Bw. Nicodemus Nalisis ametoa wito kwa wakazi wa mkoa wa Kigoma kujenga tabia ya kushiriki...
View ArticleKIJANA ALIYECHOMWA MOTO NA VIBAKA LINDI AKIWA HOSPITALI
Na Abdulaziz Lindi Kijana Ismai Mayoba (31) anaefanya kazi Bar ya Mangrove,Mkazi wa Jamhuri Manispaa ya Lindi ambaye amenusurika kifo baada ya kuvamiwa na kundi la Vijana waliotaka kumpora na hatimae...
View ArticleFainali za Safari Pool kwa vyuo vya elimu ya juu kufanyika wikiendi hii...
Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza siku ya Fainali ya Mashindano ya Mchezo wa Pool kwa Vyuo vya Elimu ya Juu...
View ArticleDK.SHEIN ATEMBELEA MJI WA NANJING JIMBO LA JIANGSU NCHINI CHINA LEO
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein katikati wakiwa katika picha ya pamoja na Viongizo wa Kampuni ya Teknolojia ya mawasiliano ya...
View ArticleNEWS ALERT: Rasimu ya Katiba kuzinduliwa Jumatatu, Juni 3, 2013
Tume ya Mabadiliko ya Katiba inapenda kuwafahamisha wananchi wote kuwa itafanya uzinduzi wa Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siku ya Jumatatu, Juni 3, 2013, kuanzia saa 8:00 mchana...
View ArticleSERENGETI FREIGHT FORWARDERS LTD WAZEE WA KAZI GOOD NEWS FOR TANZANIA
HUDUMA MPYA YA KIFURUSHI NEW DOOR TO DOOR SERVICETUNACHUKUA MZIGO MLANGONI KWAKO UK NA TUTAUFIKISHA MLANGONI KWAKO DARUKILIPA HAPA UK HAULIPI TENA DAR, SISI TUTAKULETEA MZIGO NYUMBANI KWAKO!Baada ya...
View ArticleKutoka Bunge Mjini Dodoma leo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni mjini Dodomamay 30, 2013. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr. Mary Nagu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema wakiteta Bungeni Mjini...
View ArticleMSIBA MZITO GLOBU YA JAMII
Marehemu Felician M. MakwaiaMICHUZI MEDIA GROUP Inasikitia kutangaza kifo cha Mzee Felician M. Makwaia ambaye bi baba mzazi wa mmoja wa wakurugenzi wake Bw. Christopher Makwaia, kilichotokea leo May...
View ArticleUshauri kwa Wanyarwanda:Sioni kosa la Kikwete
Na Mzalendo Albert, ArushaAlichokisema Rais Jakaya Kikwete kwenye mkutano wa kutafuta amani nchini DRC hakina ubaya wowote, kupelekea Wanyanrwanda wamjie juu na kuanza kumshambulia kwa lugha ambazo...
View ArticleMdau Shafii Dauda ashuhudia jinsi wazee wa kazi wanavyopiga boxi, awapa ofa...
Mdau Shaffih Dauda wa Clouds FM akiongozana na Ismail Sota walitembelea ofisi za SERENGETI FREIGH UK huko Uingereza kujionea jinsi boxi linavyopigwa Pamoja na kujionea wazee wa kazi wakipiga boxi.Mdau...
View ArticleAfDB Annual Meetings: Ask your questions LIVE to the Vice President of the...
Finance Vice President of the African Development Bank (AfDB) Charles Boamah will host an online press conference on the last day of the Annual Meetings of the African Development BankMARRAKECH,...
View Articlepiga kura yako kwa Mshiriki umpendae kwenye kinyang'anyiro cha tuzo za...
Je,Ushapiga kura yako kwa Mshiriki umpendae kwenye kinyang'anyiro cha tuzo za Kili??Kama bado Piga sasa,ambapo utamuwezesha Mshiriki upendaye kupata Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards...
View Articlekinana na ujumbe wake waendelea na ziara yao wilayani makete mkoani njombe.
Mkuu wa Wilaya ya Makete,Mh Josephine Matiro akimuongoza Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana na ujumbe wake,mapema jana alipokuwa akikagua uhai wa mashina ya chama hicho katika kijiji cha Tandala,Wilaya ya...
View ArticleBURIANI MPIGANAJI ERNEST ZULU
Wa pili kutoka kushoto ni Kamishna wa Bunge Mhe. Abdul Karim Shah (Mb), Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashilillah, ndugu wa mke wa marehemu Zulu na mke wa marehemu Ernest Zulu nyumbani kwa maerhemu Zulu,...
View ArticleTIMU MBILI ZA TANZANIA KUSHIRIKI KATIKA KOMBE LA AFRICAN NATIONS CUP...
WATANZANIA MLIOPO UINGEREZA HUSUSAN LONDON NA VITONGOJI VYAKE MNAOMBWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUZISHANGILIA TIMU ZETU TANZANIA BARA NA ZANZIBAR ISLANDS.KUANZIA JUMAMOSI YA TAREHE 01/ 06/...
View Article