Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 118617

Fainali za Safari Pool kwa vyuo vya elimu ya juu kufanyika wikiendi hii jijini Dar

 Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza siku ya Fainali ya Mashindano ya Mchezo wa Pool kwa Vyuo vya Elimu ya Juu yanayodhaminiwa na Bia ya Safari,yatakayofanyika siku ya Jumamosi na Jumapili kwenye Viwanja vya Leaders Club,Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama cha Pool Taifa,Amos Kafwinga.
 Katibu Mkuu wa Chama cha Pool Taifa,Amos Kafwinga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya namna fainli hizo zitakavyokuwa.Image may be NSFW.
Clik here to view.
 Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo (katikati) akikabidhi Kombe litakalokabidhiwa kwa Mshindi wa Jumla katika Fainali za Mashindano ya Safari Pool kwa Vyuo vya Elimu ya Juu kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Pool Taifa,Amos Kafwinga (kushoto).Fainali hizo zitafanyika siku ya Jumamosi na Jumapili kwenye Viwanja vya Leaders Club,Jijini Dar es Salaam.Kulia  ni Mtatibu wa Mashindano hayo,Peter Zackaria .
Kiongozi wa Bendi ya Twanga Pepeta,Luiza Mbuttu akiimba akapela ya moja ya nyimbo za Bendi yake ambayo itatoa burudani siku hiyo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 118617

Trending Articles