NEWS ALERT: Salim zagar achaguliwa kuwa mwenyekiti wa klabu ya Pan African,...
Katibu wa kamati ya uchaguzi Bw. Peter Mushi akisoma matokeo ya uchaguzi wa uongozi wa Pan African uliosimamiwa na kamati ya uchaguzi pembeni yake ambayo ni toka kushoto Sunday Manara "Computer:,...
View ArticleFULL TIME: KAGERA SUGAR 2 vs 1 RUVU SHOOTING, TEMI FELIX, MANGOMA NA MBARAKA...
Mbaraka Yusuf alikunjuka zikiwa zimebaki dakika chache mpira kumalizika na kumchambua beki wa Ruvu Shooting na kuziona nyavu za Ruvu Rooting ambapo mpaka wakati huo Kipa hakuwepo langoni mwake. Ushindi...
View ArticleMAFUNDISHO YA MCHUNGAJI DANIEL KULOLA KUONESHWA KWENYE KING'AMUZI CHA...
Usikose kufuatilia mahubiri na mafundisho ya Mchungaji wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza, Dkt.Daniel Moses Kulola (kulia), kwenye runinga ya STAR RELIGION kupitia...
View ArticleKUELEKEA NOVEMBA 14 WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAANDAA MICHUANO YA MPIRA WA...
Na Ramadhani Ali, Maelezo Waandaaji wa michuano ya maadhimisho ya siku ya kisukari Duniani kwa Zanzibar Timu ya Wizara ya Afya imeyaaga mashindano hayo katika mchezo wa ufunguzi baada ya...
View ArticleKAMPENI YA BINTI WA KITAA YAFIKA WILAYA YA TEMEKE JIJINI DAR, WAKAZI WAPATA...
Mkazi wa Mtaa wa Mvomero Tandika Bi. Rauva Maulid akieleza namna akina baba walivyo na tabia ya kuwarubuni mabinti wenye chini ya umri wa miaka 18 na kuwababishia Mimba,na kuongeza kuwa kwa tandika...
View ArticleMkurugenzi mtarajiwa wa Mtandao wa Fullshangweblog aendelea na safari ya...
Bwana John Bukuku Mkurugenzi wa Mtandao wa Fullshangweblog na Mama Mkurugenzi wakimpongeza Mkurugenzi Mtarajiwa wa Fullshangwe Ivone John Bukuku mara baada ya kuhitimu mafunzo ya awali ngazi ya cheti...
View ArticleMkuu wa wilaya ya Iringa Mh Richard Kasesela azindua mradi wa maji kijijini...
Mkuu wa wilaya ya Iringa Mh Richard Kasesela amezindua mradi wa maji katika kijiji cha Lupalama kilichopo katika Tarafa ya kalenga Wilayani Iringa uliodhaminiwa na Shirika la E.P.I.C (Everyday People...
View ArticleSHIRIKISHO LA WANAFUNZI WA VYUO VYA ELIMU YA JUU WAPONGEZWA KWA KUWA NA UBUNIFU
Katibu Msaidizi Mkuu wa Idara ya Utawala ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Bw. Kirumbe Ng’enda akisisitiza jambo mbele ya wanachama wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu wa Chama hicho(hawapo pichani)...
View ArticleTAARIFA KWA UMMA: BENKI YA TWIGA BANCORP LTD. KUANZA KUTOA HUDUMA NOVEMBA 8,...
Kwa mamlaka iliyopewa kisheria kupitia kifungu namba 58(2) (a) na (b) cha Sheria ya Mabenki na Taasisi za Fedha ya mwaka 2006, Benki Kuu inapenda kuutarifu umma kwamba zoezi la tathmini ya hali ya...
View ArticleZiara ya Mama Shein Kisiwani Pemba Kuzungumza na Wanawake wa UWT
MKE wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman akitowa nasaha zake kwa Wanawake wa UWT Wilaya ya Micheweni Pemba wakati wa Mkutano wa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,...
View ArticleSerikali yaipongeza Kampuni ya MultiChoice Tanzania kwa kuanzisha Chaneli...
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya MNET, Yalisa Phawe akitoa hutuba fupi katika uzinduzi huo. Kulia ni Mkuu wa Chaneli ya Maisha Magic Bongo, Barbara Kambogi. Mkuu wa Chaneli ya Maisha Magic Bongo,...
View ArticleWABUNGE WAPEWA SEMINA YA EPA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO, Dodoma.Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamepewa semina kuhusu Mkataba wa Makubaliano ya Ushirikiano wa Kiuchumi kati...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KISIWANI PEMBA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Nd,Nassor Ali Nassor Mchoraji wa ramani katika kampuni ya United Construction...
View ArticleSIMBA YASHINDWA KUTAMBA KWA AFRICAN LYON LEO, YACHAPWA BAO 1-0
Mshambuliaji wa Timu ya African Lyon Omary Abdallah akiwatoka mabeki wa Timu ya Simba, Novality LUfunga na Jonas Mkude, katika Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, uliochezwa jioni ya leo katika Uwanja...
View ArticlePENATI YAWAPA USHINDI YANGA WA GOLI 1-0 DHIDI YA TANZANIA PRISON MBEYA
TIMU ya Yanga imefanikiwa kutoka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya askari magereza wa mkoani Mbeya Tanzania Prisons na kufikisha jumla ya alama 30 wakiwa nyuma ya alama tano dhdi ya mahasimu wao wakubwa...
View ArticleTTCL yaichapa NSSF, kwenye mashindano ya Taasisi za Umma
Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) imeendelea kuonesha ubabe kwa timu mbalimbali zinazoshiriki katika mashindano ya yanayoshirikisha Taasisi za Umma, baada ya kuichapa NSSF kwa magoli 2-1 katika mchezo...
View ArticleMKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM ATEMBELEA VITUO VYA POLISI JIJINI, APANGA...
Kwa taswira ya baadhi ya vituo hivyo BOFYA HAPA
View Article