TANZIA: SPIKA MSTAAFU WA BUNGE MH. SAMUEL SITTA AFARIKI DUNIA, RAIS DKT...
Taarifa iliyoigikia Globu ya Jamii asubuhi hii, inaeleza kwamba Aliyekuwa Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mwandamizi Mhe. Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa...
View ArticleVOA Swahili: Zulia Jekundu S1 Ep 99: Hillary Duff, Drake, Taylor Swift, Kim...
Zulia Jekundu ni kipindi cha televisheni cha kila wiki ambacho hukuletea habari mbalimbali za burudani zinazotamba. Humu utapata kujua juu ya habari za mastaa zinazogonga vichwa vya habari, kujua...
View ArticleVITUKO KUTOKA UWANJA WA SOKOINE KABLA NA BAADA YA MCHEZO WA YANGA NA TANZANIA...
Hiki ni moja ya Kituko kilichofanya na Timu Ya Kutoka Mbozi Mbeya Jina La Timu Limehifadhiwa Kituko cha Kubadilishana Jezi Uwanjani wakati mpira ukiendelea Ikiwa ni Mechi Ya Utangulizi Dhidi ya Prison...
View ArticleTAARIFA KUTOKA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA
LIGI YA WANAWAKE MCHEZO MMOJA TURaundi ya Pili ya Duru la Kwanza ya Ligi Kuu ya Taifa ya Wanawake itaendela kesho Jumanne kwa mchezo mmoja tu, wa Panama ya Iringa kuwa wageni wa timu ya Marsh Academy...
View ArticleKlabu ya Azam FC yamlilia mwenyekiti wake, kuzikwa kesho makaburi ya kisutu...
Uongozi wa Klabu ya Azam FC kwa masikitiko makubwa, unatangaza kifo cha mwenyekiti wake, Mzee Said Mohamed Abeid (pichani), kilichotokea alasir ya leo Novemba 7, 2016, katika Hospitali ya Aga Khan...
View ArticleARUSHA WAZINDUA SIKU YA USALAMA BARABARANI, TWAKIMU ZAONYESHA AJALI ZA...
Askari wa usalama barabarani koplo Atilio Choga akiwa anatoa maelezo mafupi ya barabara zilizopo mkoani Arusha na jinsi magari yanavyoingia na kutoka katika siku ya uzinduzi wa wiki ya usalama...
View ArticleMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akutana na Kamati...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kati kati akizungumza na Ujumbe wa Kamati Tendaji ya Milade Nabii iliyofika Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar kumualika Sherehe za Maulidi ya...
View ArticleTYPF yatoa huduma ya upimaji afya kwa akina mama
Taasisi ya Tanzania Yemeni Professional Foundation (TYPF), Jumamosi ya Novemba 5 mwaka huu iliendesha huduma ya upimaji wa afya kwa akina mama wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa udhamini wa Ofisi ya Ubalozi...
View ArticleDKT. POSSI AIPONGEZA UNESCO KUPUNGUA KWA UKATILI DHIDI YA ALBINO
Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa UNESCO nchini, Zulmira Rodrigues akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu...
View ArticleMAMA MWANAMWEMA SHEIN AZUNGUMZA NA WAUMINI WA DINI YA KIKRISTO PEMBA, AZINDUA...
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Viongozi wa Dini wakati akiwasili katika ukumbi wa Chuo cha Amali Vitongoji Pemba, kuzungumza na Waumini wa Dini na kuzindua Albam la...
View ArticleHOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI YAPOKEA MSAADA WA MASHINE KUBWA YA UTRASOUND...
Hospitali ya Taifa Muhimbili imepokea msaada wa mashine kubwa na ya kisasa ya Utra Sound maalum kwa ajili ya kuwahudumia wagonjwa wenye matatizo ya Figo. Msaada huo umetolewa na Hospitali ya Chuo Kikuu...
View ArticleTANZIA: HUSNA HALID KILUVIA MSHAMI AFARIKI DUNIA
Kwa masikitiko makubwa Captain Denis Mshami wa wakala wa ndege za serikali anasikitika kutangaza kifo cha mke wake mpenzi HUSNA HALID KILUVIA MSHAMI (pichani) kilichotokea leo tarehe 7.11.2016.Msiba...
View Article