Katibu wa kamati ya uchaguzi Bw. Peter Mushi akisoma matokeo ya uchaguzi wa uongozi wa Pan African uliosimamiwa na kamati ya uchaguzi pembeni yake ambayo ni toka kushoto Sunday Manara "Computer:, Mzee Chombinga, Mzee Muhidini Ndolanga na Mzee Mtulia
Katibu kamati ya uchaguzi Bw. Peter Mushi akifafanua jambo baada ya uchaguzi katika mkutano mkuu wa klabu ya Pan African uliofanyika hoteli ya Falcon Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo.Nyuma yake kutoka kulia ni viongozi hao wapya ambao ni Salim Zagar (Mwenyekiti) Shabani Kessi Mtambo (Makamu Mwenyekiti) na wajumbe Kepteni Davis Malikita, Salum Carlos Mwinyimkuu na Mohamed Mkweche
Sehemu ya wanachama wakiwa katika mkutano mkuu uliofanyika hoteli ya Falcon Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo.
katika mkutano mkuu uliofanyika hoteli ya Falcon Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo. kwa picha zaidi BOFYA HAPA