TAMASHA LA SANAA LA MAKUMBUSHO YA TAIFA LA PAMBA MOTO
Tamasha la sanaa za Ufundi la za Jukwaani lenye lengo la kupamba Siku ya Makumbusho Dunia limeanza rasmi katika viwanja vya Mkumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam. Hadi sasa watu wengi wanazidi...
View Articlepinda akutana na bosi wa UNHCR nchini na wataalamu wa nyuki mjini Dodoma leo
Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akisalimiana na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mtaifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Joyce Mends-Cole kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu Mjini Dodoma...
View ArticleOSHA YAKOSHA WANANCHI KATIKA Maonesho ya Wiki ya Hifadhi ya Jamii Dodoma
.Mwananchi akipata maelezo toka kwa ndugu Claver Happy Mwinuka mshiriki wa maonesho kwenye Banda la Wakala wa Usalama na Afya Mahali Pa kazi (OSHA) kwenye wiki ya Hifadhi ya Jamii Dodoma. Mtendaji...
View ArticleUJENZI WA KITUO CHA SIKOSELI NCHINI WAPIGWA JEKI
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sikoseli Tanzania, Grace Rubambey (kulia) akisalimiana na mwendesha baiskeli wa masafa marefu, Alan Knight katika hafla ya kuchangisha fedha ya ajili ya kusaidia elimu, afya...
View ArticleBAJETI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA YAPITA BUNGENI
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Abdallah Kigoda akisoma hotuba ya Wizara yake Bungeni Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Abdallah Kigoda na Naibu wake Mh Gregory Teu wakisikiliza kwa makini michango...
View Articleankal akipigwa sop-sop kwa Bitebo junior mwanamyamala
Ankal akiritachi kialaza kwenye saluni ya Bitebo jnr Hair Designer chini ya mikono stadi ya kula vichwa ya Masudi Bitebo maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es salaam. Yeye anaipenda saluni hii kwa...
View ArticleMHE. MEMBE AMKARIBISHA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CANADA NCHINI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. John Baird alipowasili kwenye Hoteli ya HyattyRegency...
View ArticleJESHI LA POLISI ARUSHA LAKANUSHA KUMWACHIA MTUHUMIWA WA UJANGILI.
Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas Na Veronica Kazimoto – MAELEZOJeshi la Polisi mkoani Arusha limekanusha taarifa ya kuachiwa huru kwa mtuhumiwa wa ujangili Bw. Frank William Silangei...
View ArticleWAJUMBE WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA WAENDELEA NA VIKAO VYA MAJADILIANO
MJUMBE wa Tume ya Mabadiliko y a Katiba, Bi. MwatumuMalale (kushoto) akichangia hoja katika Kikao cha ndani cha Tume hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume Jijini Dar es Salaam...
View ArticleCONSULTANCY ASSIGNMENT - TRAINING MATERIAL REVIEW AND TRANSLATION TO KISWAHILI
Hello Friend,I am looking for a Consultant who is capable of Reviewing The Training Material and make them Resource Book particular for Financial Education (Wealth Creation) targeting SME.The work will...
View ArticleDCI MANUMBA ATOA MBINU KUUKABILI UHALIFIU
Mkurugenzi wa upelelezi wa Makosa ya Jinai Nchini DCI Robert Manumba akizungumza na Wakurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai katika mafunzo ya kufanya Operesheni za Pamoja kati ya SARPCCO na...
View ArticleTANGAZO LA AJIRA KATIKA NCHI ZA AFRIKA KWA WATANZANIA WALIOPO UINGEREZA NA...
CAREERS IN AFRICA INAWATANGAZIA WALE WOTE WENYE SHAUKU YA KUTAFUTA KAZI BARA LA AFRIKA KUHUDHURIA KONGAMANO KUBWA LA KAZI LITAKALOFANYIKA JIJI LA LONDON KUANZIA TAREHE 17 MPAKA 19 MEI , 2013.CCM UK...
View ArticleMKURUGENZI MKUU WA PPF ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI MPYA WA BODI YA ZEP-RE
Mkurugenzi Mkuu wa PPF, Bwana William Erio (pichani) amechaguliwa na Mkutano Mkuu wa 22 wa mwaka wa kampuni ya Zep-Re kuwa Mwenyekiti mpya wa Bodi na wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Kampuni hiyo. Uchaguzi...
View ArticleNani kuficha mabango ya utani wa jadi siku ya Jumamosi?
Mashabiki wa Yanga, Kuendelea kurekodi matukio ya furaha Jumamosi??Mashabiki wa Simba.....wataendeleza Kidedea hiyo siku ya Jumamosi???Tiketi kwa ajili ya pambano la kufunga pazia la Ligi Kuu ya...
View ArticleKongamano la Tatu la Makatibu Muhtasi (tapsea) kufungwa rasmi leo jijini arusha.
Mtoa mada iliyohusu Maadili kazini,Bwa.Alex Senzota kutoka Idara ya Usalama Kazini (GSO),akifafanua zaidi kuhusiana na mada iliyohusu Maadili kazini na namna ya kutunza/kuepuka uvujaji wa siri za ofisi...
View ArticleArticle 23
JAMHURI YA MUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAJI TAARIFA KWA UMMAKatika gazeti la Nipashe la Jumapili tarehe 12 Mei 2013 mwandishi Mashaka Mgeta aliandika makala yenye kichwa cha...
View Articlemji wa mtwara waghubikwa na ukimya leo, shughuli zimesimama kwa hofu ya...
Na Abdulaziz Video,Hali ya usalama ndani ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani ni tete. Soko Kuu, kituo kuu cha mabasi na maduka yamefungwa tangu asubuhi. Usafiri wa Pikipiki unapatikana katika baadhi ya...
View Article