Wakuu wa Majeshi ya Polisi wa nchi za SADC wakutana Dar es salaam
Baadhi ya Wakuu wa Majeshi ya Polisi kutoka nchi za SADC wakiimba wimbo wa umoja huo katika mkutano wa mwaka wa kumi na nane wa shirikisho la Wakuu wa polisi kusini mwa Afrika (SARPCCO) unaofanyika...
View ArticleUMOJA WA MATAIFA WAJARIBU TENA KUISAIDIA SYRIA
Ubao wa matangazo ukionyesha namna ambavyo kila Nchi ilivyopiga Kura yake Azimio Kuhusu hali ya Syria, upigaji kura huo ulifanyika wakati Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilipokutana siku ya...
View ArticleMbinu ya kuthibiti wizi wa mifuniko barabarani yafanikiwa
Mbinu hii imefanikiwa kuthibiti wizi wa mfuniko wa barabarani kwa asilimia mia moja sasa kwani yapata mwezi sasa mfuniko huu uliopo mtaa wa Jamhuri jijini Dar es salaam una mwezi na ushee hivi...
View ArticlePresident Kikwete Meets UN Rep for Darfur Dr. Mohamed Chambas
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete welcomes to the State House Joint Special Representative of the African Union-Unite Nations Hybrid operation in Darfur(UNAMID) and Joint Chief Mediator Dr. Mohamed...
View ArticleWashindi wa droo ya Western Union wakwea pipa kuona fainali ya ligi ya...
Washindi watatu wa promosheni ya shinda tiketi na Western Union wameondoka kwa shamra shamra Dar es Salaam juzi usiku kwenda kushuhudia fainali ya ligi ya mabingwa kati ya Chelsea FC na SL Benfica...
View Articlethe Blues are Europa League Champs
On a dramatic evening in Amsterdam on Wednesday, the Blues lifted the Europa League trophy with a 2-1 victory over Benfica and in so doing, became just the fourth club in history to take a European...
View ArticleSIBOKA MFALME KUANZA ZIARA YA KUTAMBULISHA NYIMBO MPYA
Mfalme wa muziki wa asili nchini Costa siboka 'Mfalme' anatarajia kuanza ziara yake ya utambulisho wa nyimbo mpya hivi karibuni.Siboka wiki ijayo atakuwa jiji la Mwanza na kuzunguka visiwa vyake vyote...
View ArticleMsondo,Che Mundugwao, King Majuto kuwasha moto Fainali za Taifa Miss Utalii...
Warembo wa Miss Utalii Tanzania 2013 wakiwa katika Picha ya PamojaBaada ya shamlashamla na mapokezi makubwa ya Miss Utalii Tanzania walipo ingia Mkoani Tanga na kupokelewa na umati mkubwa wa watu,...
View ArticleCPwaa ateuliwa kuwa msimamizi mkuu na MC wa michuano ya Foosball
Msanii maarufu wa kimataifa wa muziki wa kizazi kipya CPwaa ateuliwa na kampuni ya bia Heineken Tanzania kusimamia michuano ya mpira wa mezani (Foosball) pamoja na kutangaza na kuhamasisha mchezo huo...
View ArticleJaji Mkuu wa Tanzania awasili Sumbawanga mkoani Rukwa kwa ziara ya kikazi ya...
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga, Mhe. Jaji Sambo akimkaribisha Mhe. Jaji Mkuu wa Tanzania kuongea na Watumishi wa Mahakama ya Sumbawanga mapema leo Katika jengo la Mahakama Kuu Kanda...
View ArticleMke wa waziri Mkuu mama tunu pinda afungua kongamano la Makatibu Muhtasi...
Mgeni rasmi Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda (wa tano kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi viongozi wakuu wa TAPSEA pamoja na waratibu wa Kongamano hilo la Makatibu Muhtasi...
View ArticleMAMA TUNU PINDA AWAASA MAKATIBU MUHTASI WAZINGATIE MAADILI YAO
MKE WA WAZIRI MKUU Mama Tunu Pinda amewaasa Makatibu Muhtasi na kuwataka wazingatie maadili ya taaluma yao ya uhazili ili kuongeza ufanisi wa majukumu ya kazi zao. Ametoa wito huo leo mchana...
View ArticleKitu kiko sokoni:BMW convertible
BMW Z3 - 1998, 6gear AUTO, Convertible, RHD, Imported & registered in January 2013 for sale. Original Germany made. Serious buyers (no middlemen) call +255684860860
View ArticleDKT. SHEIN AKUTANA NA BALOZI ANAYESHUHULIKIA MASHIRIKIANO YA NCHI MBAILI WA...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi anayeshuhulikia mashirikiano ya nchi mbili wa Denmark Charlotte Slente,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar...
View ArticleMAELEZO YA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII JUU YA KAULI YA DR. MWINYI...
Ili kuondoa mkanganyiko ambao umeanza kujitokeza, Wizara inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu tamko lililotolewa na Mhe. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii. Aidha, kama ilivyoelezwa katika taarifa mbalimbali...
View ArticleBalozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya akutana na Mratibu wa Tanzania wa Taasisi...
Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai yenye rangi za bendera ya taifa) akiwa na Mratibu wa Tanzania wa Taasisi ya Wataalam Waandamizi wa Uholanzi(PUM) Mhe. Samuel...
View ArticleFRANCIS CHEKA SHOPPING FOR OUT OF AFRICA OPPONENT FOR HIS OPTIONAL 4TH TITLE...
Tanzania's most celebrated pugilist Francis Boniface Cheka (pictured) is shopping for an opponent from outside the African continent for his optional defense of his title for the fourth time. Cheka’s...
View Article