Naibu Waziri wa Afya Dk.Kigwangalla amezitaka taasisi za Dini kuhubiri amani...
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla akitoa neno la shukraniZoezi la kuwafariji Wamama Wajane likiendeleaNaibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,...
View ArticleRAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA...
Rais Mstaafu Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Pili wa Zanzibar Mheshimiwa Aboud...
View ArticleWAHALIFU MTANDAO WAUNGANISHA NGUVU KUDHURU MABENKI
Makundi mawili makubwa ya kihalifu mtandao yanayo andika program hasidi “Malware” zenye mlengo ya kudhuru mabenki yametangaza kuungana ambapo imezungumzwa kuwa huwenda ndio sababu kuu ya kumepelekea...
View ArticleSerikali ilivyowabwaga Chadema kesi ya maandamano
Na Mwandishi WetuSIKU kadhaa baada ya Serikali kukishinda Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema (Chadema), katika shauri na. 52/2016 kuhusu uhalali wa tamko la Jeshi la Polisi kuzuia maandamano na...
View ArticleIgizo la "Mrs Lucy comes to Africa" lasisimua mashabiki katika Jumba la...
Azam Media Ltd wakishirikiana na TDE (The family of Toussaint Duches Entartainment) kutoka nchini Marekani wakiungana na vipaji vya wasanii maarufu wa sanaa ya Uigizaji Tanzania Jumapili usiku...
View ArticleTaarifa rasmi ya kifo cha Rais Mstaafu wa Zanzibar wa Awamu ya Pili,...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, ametoa taarifa rasmi ya Serikali kuhusu kifo cha Rais Mstaafu wa Zanzibar wa Awamu ya Pili, Mheshimiwa Alhaj Aboud...
View ArticleKUSTAAFU KWA BI. ARIANNA HUFFINGTON KUNA MAANA GANI KWA ANKAL NA LIBENEKE LA...
Na AnkalNilipopata tarifa kuwa Blogger mkongwe Bi. Arianna Huffington (pichani) anastaafu kutoka Mtandao wa Jamii ama blog ya Huffington Post (BOFYA HAPA) ili kuanzisha mtandao wa Thrive Global...
View ArticleBENKI YA EXIM YAADHIMISHA MIAKA 19 KWA KUZINDUA HUDUMA TATU MPYA.
Mkuu wa Kitengo cha Fedha wa Benki ya Exim, Selemani Mponda akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kabla ya hafla fupi ya kusherekea miaka 19 ya benki hiyo na kuzindua wa huduma...
View ArticleSHUKRANI.
KUMBUKUMBU, mama Vailet Baraka anakumbukwa kwa mchango wake mkubwa kwa jamii hasa kuendeleza kinamama na vijana sehemu mbalimbali alipofanya kazi.Alikuwa ni Mbunge wa kwanza kuchaguliwa na wananchi...
View ArticleBENKI YA DCB WATOA MSAADA WA MADAWATI 100 KATIKA SHULE MPYA YA MSINGI YA...
BENKI ya DCB COMMERCIAL imetoa madawati 100 kwa shule ya msingi Lubakaya iliyopo Kata ya Zingiziwa jijini Dar es Salaam, ikiwa ni ukamilishaji wa ahadi yake ya kuchangia madawati 300 kwa shule za...
View ArticleWATANZANIA MILIONI 23 KUPATA NAMBA YA UTAMBULISHO WA VITAMBULISHO VYA URAIA...
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Mamlaka hiyo Bi. Rose Mdami akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.Na. Lilian Lundo - MAELEZO.MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)...
View ArticleYANGA, AFRICAN LYON WAKAMILISHA USAJILI KWA TMS.
Afisa habari wa TFF Alfred Lucas.Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Nchini TFF, limethibisha kukamilika kwa usajili wa timu 11 zilizokuwa hazijakamilisha usajili wake kwa...
View ArticleWANANNCHI WA ZANZIBAR WENYE ASILI YA INDIA WASHEREHIKEA MIAKA 70 YA UHURU WA...
Mwananchi wa Zanzibar mwenye asili ya India Bhagwanji Meisuria maarufu kwa jina la (MSHAMBA) akizungumza na waandishi wa habari juu ya namna ya Amani iliyopo Nchini kwa ujumla. Balozi Mdogo wa India...
View ArticleYANGA YAANZA KUJIFUA KUIVAA AZAM
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.KIKOSI cha Yanga cha Yanga leo hii kimeendelea na mazoezi ya kujianda na mechi ya Ngao ya Hisani dhidi ya azam unaotarajiwa kuchezwa siku ya jumatano Augosti...
View ArticleRC.MAKONDA KUJENGA MAKAO MAKUU YA BAKWATA KWA ZAIDI YA BILIONI TANO ,AKABIDHI...
Na Bakari Issa Madjeshi, Globu ya Jamii Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekabidhi mchoro wa ramani wenye ghorofa tatu kwa uongozi wa Baraza Kuu la Waislamu nchini,BAKWATA ikiwa ni...
View ArticleMADAWATI 150 YAPATIKANA KUPITIA TAMASHA LA DAWATI, DAR LIVE JIJINI DAR
TAMASHA la wasanii wa kizazi kipya la kuchangia madawati limefanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Dar Live Mbagala ambapo jumla ya madawati 150 yamepatika.Tamasha hilo liliandaliwa na Mkuu wa...
View ArticleIGP MANGU AITEMBELEA AICC.
Mkuu w Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu akisani kitabu cha wageni ofisini kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa (AICC), Elishilia Kaaya. IGP Mangu alifanya ziara...
View ArticlePangani Wapata Kivuko Kipya
Na Theresia Mwami TEMESA Wananchi wa Pangani na Bweni mkoani Tanga wamepata kivuko kipya cha MV. Tanga, ambacho sasa kitasaidiana na MV. Pangani II kutoa huduma katika eneo la Pangani na...
View Article