Manaibu Kamishina wa Jeshi la Polisi waliokuwa nje ya nchi wala kiapo cha...
Mwakilishi wa Katibu Mkuu Kiongozi,Charles Mwankupili akizingumza jambo wakati wa hafla ya kula kiapo cha Maadili kwa Manaibu Kamishina wa Jeshi la Polisi (DCP) Modestus Gasper Lyimo na Juma Yussuf...
View ArticleMwenyekiti wa NEC Jaji Damian Lubuva amtembelea Spika Wa Bunge Job Ndungai...
By Christina NjovuMwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva leo amemtembelea Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Job Ndugai nyumbani kwake Jijini Dar es Salam...
View ArticleJWTZ BINGWA WA MPIRA WA PETE MICHUANO YA MAJESHI NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI
Na Selemani Semunyu JWTZTimu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ kwa Mpira wa Pete wametangaza ubingwa wa michuano ya majeshi kwa Nchi za Afrika mashariki kwa mchezo huo yanayoendelea...
View ArticleMiss Dodoma 2016 Anna Nitwa akumbuka yatima
Mrembo wa Dodoma 2016 Anna Nitwa akikabidhi sehemu ya msaada aliotoa kwa Bibi Bashura Mussa ambaye anaishi Mtaa wa Muungano Manispaa ya Dodoma. Bashura na wajukuu wake wanaishi kwa kuokota katika...
View ArticleTANAPA,NGORONGORO NA IDARA YA WANYAMAPORI SASA KWENDA KIJESHI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi akikagua gwaride wakati wa kufunga mafunzo kwa askari wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) na Maafisa wa Mamlaka ya...
View ArticleWAKUU WA WILAYA WASTAAFU WAJIUNGA PSPF, RAIS MAGUFULI AWAPONGEZA KWA...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (TAMISEMI), George Simbachawene, (kulia),akimkabidhi kadi ya kujiunga na uanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mwenyekiti wa Wakuu wa Wilaya Wastaafu, Ramadhan Maneno,...
View ArticleMANJI ABWAGA MANYANGA YANGA??
HABARI zilizotufikia zinasema kuwa Mwenyekiti wa Yanga Yusuf Manji, amejiuzulu wadhifa wake wa kuiongoza Yanga na kuamua kukaa pembeni.Mbali na kujiuzulu huko pia imeelezwa na chanzo cha uhakika kutoka...
View ArticleWATU WATATU WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUGUSHI VYARAKA MBALIMBALI ZA IDARA YA AFYA.
Na Abel Daud wa Globu ya Jamii, KIGOMAJeshi la Polisi Mkoani Kigoma kwa kushirikiana na wataalamu kutoka baraza la Famasia linawashikiria watu watano kwa tuhuma za kugushi vyeti mbalimbali vya idara...
View ArticleWAZIRI WA ULINZI WA CANADA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JWTZ JIJINI DAR ES...
Picha namba 2469 JPG, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange (kulia), akimkabidhi zawadi ya Nembo ya JWTZ Waziri wa Ulinzi wa Canada, Mhe. Harjit Singh Sajjan (kushoto) ofisini kwake Makao Makuu...
View ArticleHE Dr Jakaya Kikwete, Chair of the Commonwealth Observer Group to Zambia’s...
Dr Jakaya Kikwete, the Chair of the Commonwealth Observer Group, has congratulated the President-Elect, and commended the Electoral Commission of Zambia for the successful conduct of the recently...
View ArticleMazishi ya Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi Zanzibar leo
Viongozi wa kitaifa wakishiriki katika sala ya kumwombea Ras wa Awamu ya Pili wa Zanzibar, marehemu Alhaj Abood Jumbe iliyofanyika kwenye msikiti, Mwembeshauri Zanzibar Agosti 15, 2016. Kutoka kushoto...
View ArticleMarufuku kutumia mafuta ya transfoma kukaagia chipsi- Profesa Muhongo.
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo amepiga marufuku matumizi ya mafuta ya transfoma kwa ajili ya kukaangia chips na kutengeneza mikorogo.Profesa Muhongo ameyasema hayo alipokuwa...
View ArticleBLACK WOOD NA BENKI YA ACB WAZINDUA HUDUMA YA MIKOPO YA KUBORESHA MAKAZI...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabulla akizungumza na wadau wa benki ya ACB jijini Dar es Salaam leo katika uzinduzi wa huduma ya mikopo na kuboresha makazi kati ya...
View ArticleWANACHAMA YANGA WAMLILIA MANJI, WATAKA AKILIMALI AFUTWE UANACHAMA.
Baadhi ya wanachama wa Yanga wakiwa inje ya Jengo la Makao Makuu ya Yanga.Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.KUFUATIA tetesi za Mwenyekiti wa Yanga Yusuph Manji kutaka kujiengua pamoja na kubadili...
View ArticleVIVUTIO VYA UTALII LUKUKI VYAIBULIWA KATIKA HIFADHI YA MKINGU
Hifadhi asili ya Mkingu ipo wilaya ya Muvemero Mkoani Morogoro. Hifadhi hii ni eneo muhimu sana kiutalii kutokana na upekee wake wa maisha ya viumbe, mimea pamoja na maisha ya binadamu kiujumla....
View ArticleWAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU AAGIZA UTOAJI WA MATIBABU BURE KWA WAGONJWA WA...
Waziri UmmyMwalimu.Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Waziri Ummy Mwalimu ameziagiza Hospitali zote za Rufaa nchini ngazi ya Mikoa, Kanda na Hospitali ya Taifa Muhimbili kutoa...
View ArticleKHADIJA KOPA ALIVYONOGESHA HAFLA YA UZINDUZI WA BIDHAA MPYA YA NYWELE ZA KINA...
Malkia wa Mipansho na Mwanamuziki Mkongwe wa Taarab, Bi. Khadija Kopa akizikonga nyoyo za mashabiki wake waliohudhulia hafla ya uzinduzi wa bidhaa mpya ya Mafuta ya nywele aina ya Aliyana ya Kampuni ya...
View ArticleMBUNGE ULEGA ASHIRIKI KUHAMASISHA WANANCHI KUFYATUA MATOFALI KWA AJILI YA...
Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Abdallah Ulega ameshiriki na kuhamasisha wananchi wa Kijjji cha kikundi ,kata ya mkamba kufyatua matofali Kwa ajili ya Ujenzi wa Zahanati ya kijiji hicho. Akiwa katika eneo...
View Article