JE YANGA KUENDELEZA UBABE KWA AZAM?
 Na Zaina  Nyamka, Globu ha Jamii.IKIWA Yanga wanahitaji kuendelea kunyakua Ngao ya Hisani kwa mara ya nne mfululizo na wakiwa tayari wameshanyakua mara sita, timu ya Azam nayo imejizatiti kuhakikisha...
View ArticleMABALOZI NA WAWAKILISHI WA MABALOZI HAPA NCHINI WASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO.
Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefungua kitabu cha maombolezo kwa ajili ya Mabalozi na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa walioko nchini kutoa salaam zao za rambirambi...
View ArticleJe Unaujua Undani wa Mapacha?? wajue hapa Kiundani
Imekusanywa na Geofrey ChambuaYasemekana mapacha ni watu ambao hupendwa sana na jamii kwa muonekano wao pia.Ufuatao ni ukweli wa kushangaza kuhusu watoto mapacha.1. Yumkini Mapacha wanaweza kuzaliwa na...
View ArticleKIPINDI CHA "SAFARI YA DODOMA" KESHO TAREHE 17 AUGUST 2016 SAA 3:00 USIKU TBC1
Katika kufanikisha agizo la mhe. Rais John Magufuli, na kutekeleza maamuzi ya kuhamishia makao makuu ya serikali dodoma, tbc imeamua kuandaa kipindi maalum ili kuwafahamisha wananchi juu ya uamuzi huo,...
View ArticleObituary - Nargis Bhimji
Salaams everyone,Here is a link to mom's obituary. Â I would like to take this time to also thank you all for sending your condolences and your prayers to all of us. Â Also I would like to recognize and...
View ArticleCBE, TFDA NA AFRICAN RELIEF ORGANISATION WAMKABIDHI MKUU WA MKOA WA DAR ES...
 Kaimu Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Dk. Emmanuel Munishi (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda (kushoto) Mfano wa hundi ya shilingi milioni 8,000,000/=...
View ArticleSIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
Baadhi ya wajane na yatima wanaonufaika na msaada wa kunusuru kaya masikini unaoratibiwa na TASAF, wameiomba serikali kuongeza walengwa wanaoweza kunufaika na mpango huo;...
View Article"YES" PROGRAM WELCOMES TANZANIAN STUDENTS TO THE U.S.
Dar es Salaam, TANZANIA. Â Eighteen Tanzanian Secondary School students from Zanzibar and the mainland have been selected to live and study in the United States for one academic year from August 2016 to...
View ArticleKAMISHNA WA TRA AZINDUA KAMPENI YA KUHAKIKI WA NAMBA YA MLIPA KODI (TIN)
Kamishna wa TRA Bw. Alphayo Kidata akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za TRA jengo la Milenium Makumbusho leo wakati akielezea kampeni ya kuhakiki namba ya utambulisho wa mlipa kodi TIN...
View ArticleMahojiano na Olympian Hilal Hemed Hilal (Live) kutoka Brazil
Photo Credits: MissiePopular.comKatika kipindi cha JUKWAA LANGU (Jumatatu Agosti 15 2016) Mubelwa Bandio alifanya mahojiano ya moja kwa moja na Hilal Hemed Hilal. Nahodha wa Tanzania katika mchezo wa...
View ArticleRais Magufuli awatembelea na kuwajulia hali Mzee Malecela na Mhe. Ndugai
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 16 Agosti, 2016 amewatembelea na kuwajulia hali Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai na Makamu...
View ArticleBREAKING NEWZZZZ....KUNDI LA ORIGNAL COMEDY MATATANI KWA KUVAA SARE ZA POLISI...
Katika siku za hivi karibuni, kumejitokeza  tabia kwa baadhi ya watu wakiwemo wasanii watu wengine mmoja mmoja kutumia mavazi yanayofanana na sare za Majeshi ya Ulinzi na usalama hapa nchini likiwemo...
View ArticleDC MTATURU AKEMEA SIASA TAKA ZINAZOCHANGIA KURUDISHA NYUMA MAENDELEO YA WANANCHI
Na Mathias Canal, Singida.Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Miraji Jumanne Mtaturu ametoa onyo kwa wanasiasa wanaotumia vibaya madaraka yao kwa kushindwa kuwaelimisha wananchi juu ya umuhimu wa uchangiaji...
View ArticleKUTOKA MAKTABA: ANKAL ALIPOHOJIWA NA SPORAH NJAU WA SPORAH SHOW JIJINI LONDON...
Usikose kesho kutoka maktaba Ankal akimhoji Sporah Njau alikoanzia kabla ya show yake kuwa moja ya show baabkubwa kutoka Afrika
View ArticleBlue Star mabingwa Kinondoni Airtel Rising Stars
Timu ya wavulana ya Blue Star jana wametangazwa mabingwa wa vijana chini ya umri 17 ya Airtel Rising Stars baada ya kuwafunga timu ya Makongo Sekondari 2-0 kwenye mchezo uliokuwa wakuvutia uliochezwa...
View Article