KAIMU MKURUGENZI WA IDARA YA UTAMADUNI AZINDUA KITABU CHA KAMUSI YA UKRISTO
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Utamaduni, Lily Beleko kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akizungumza jambo kabla ya Uzinduzi wa Kitabu cha Ukristo katika Ukumbi wa Baraza la Maaskofu Dar...
View ArticleAZAM FC WATWAA NGAO YA JAMII, WAITANDIKA YANGA BAO 4-1 (PENATI)
Wachezaji wa Timu ya Azam pamoja na viongozi wao wakishangilia baada ya kutwaa Ngao ya Jamii, kwa kuifunga Yanga kwa mikwaju ya penati 4-1, kufuatia mchezo wao kumalizika kwa sare ya bao 2-2.Mgeni...
View ArticleKISOMO CHA KHITMA NA DUA YA HAYATI MZEE ABOUD JUMBE
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi na waumini wa Dini ya kiislamuwakisoma Khitma ya kumuombea Dua Marehemu Rais wa Awamu ya...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AKUTANA NA UJUMBE WA SHIRIKA LA GLOBAL COMMUNITIES NA UJUMBE...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (wa pili kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja wa ujumbe wa Shirika la Kimataifa lisilo la Kiserikali la Global Communities...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KIONGOZI MKUU WA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin wakwanza kushoto.(Katikati ni...
View ArticleVIDEO: HII NDIO MIKWAJU YA PENATI ILIYOWAPA USHINDI TIMU YA AZAM DHIDI YA...
Kipa wa Azam, Aishi Manula akiruka kuwania mpira uliopigwa na Mchezaji wa Yanga, Haruna Niyonzima ambao ulikwenda nje wakati wa changamoto ya mikwaju ya penati kuamua nani wa kunyangua Ngao ya Jamii,...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKUU WA MKOA ARUSHA FELIX NTIBENDA,AMTEUA...
Mkuu wa Mkoa mpya wa Arusha,Mrisho Gambo aliyeteuliwa na Rais,kuapishwa kesho ijumaa Ikulu jijini DarAliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa ArushaRAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli...
View ArticleBALOZI WA ISRAEL NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI MAKAMBA.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiongea jambo na Balozi wa Israel Nchini Tanzania Mh. Yahel Vilan alimpomtembelea Waziri Makamba Ofisini kwake...
View ArticleWILAYA YA PANGANI KUFANYWA YA MFANO KWA KUUNGANISHIWA UMEME YOTE
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mkaramo kilichopo wilayani Pangani mkoani Tanga. Waziri Muhongo yupo mkoani Tanga kwa ajili ya...
View ArticleKUTOKA MAKTABA YA GLOBU YA JAMII: HAWA NDIO WAZEE WALIOANZISHA VUGUVUGU LA...
Kutoka kulia waliosimama. 1. Abdallah Shomari (Tandamti no. 3 )2. Nassoro kalumbanya (simba str.) 3. Said Chamwenyewe (Aggrey/Congo str.) 4. Mtoro Ally (Muhonda str.) 5. John Rupia (Misheni kota) 6....
View ArticleWANAFUNZI HEWA 2331 KATIKA SHULE ZA SEKONDARI MKOANI SIMIYU WABAINIKA
Baada ya kufanya uhakiki wa Wanafunzi Uongozi wa Mkoa wa Simiyu umebaini uwepo wa wanafunzi hewa 2331 katika shule za Sekondari za Mkoa huo.Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Anthony...
View ArticleJWTZ YANYAKUA VIKOMBE VITATU MASHINDANO YA MAJESHI MJINI KIGALI
Mnadhimu mkuu wa Jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania Luteni Generali Venance mabeyo akisalimiana na wachezaji wa timu ya Soka ya Tanzania wakati wa mchezo wa mwisho dhidi ya Rwanda Tanzania...
View ArticleWAZIRI MKUU AWAWEKA SAWA WATUMISHI WA OFISI YAKE, TAYARI KWA SAFARI YA DODOMA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema safari ya kuhamia Dodoma imeiva na amewataka watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wajipange kisaikolojia.Ametoa kauli hiyo jana (Jumatano, Agosti 18, 2016) alipokutana...
View ArticleIGP MANGU AWAAGA ASKARI 14 WA KIKOSI MAALUM CHA POLISI (S.F.U)
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akimuuaga PC Prosper Yenda yenda wa kikosi maalum cha Jeshi la Polisi ( S.F.U) ambaye ni miongoni mwa askari 14 wanaokwenda nchini Jordan kwa kozi...
View Article