Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 118708 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC KASESELA AKUTANA NA MASELA WA KIHESA, MJINI IRINGA, APIGA JALAMBA NA MGAMBO

Katika kupunguza kasi ya uhalifu na kuwawezesha Vijana wa Iringa, Mkuu wa wilaya ya Iringa, Richard Kasesela alikutana na vijana wa kijiwe cha Kihesa, ambao wengi wao wanajishughulisha na kuosha magari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGODI WA DHAHABU WA BULYANHULU WATENGENEZA AJIRA KWA WAJASILIAMALI VIJIJINI...

Afisa Mahusiano wa Mgodi wa Bulayanhulu Sara Teri (kulia)  na Meneja wa Ufanisi wa Mgodi wa Bulayanhulu Elias Kasitila wakikabidhi madawati kwa Mkuu wa Wilaya ya Nyang’wale Hamim Gwiyama pamoja na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA BALOZI WA ISRAEL NCHINI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Israel Nchini Tanzania Mh. Yahel Vilan alimpomtembelea Ofisini kwake barabara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA KUANZA KUJIFUA KESHO, KUIFUATA MAZEMBE JUMAPILI

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiKIKOSI cha Yanga  kesho kitaendelea na mazoezi yake katika uwanja wa Uhuru kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya TP Mazembe unaotarajiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA WAKADIRIAJI MAJENZI AFRIKA JIJINI DAR ES...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa Wakadiriaji Majenzi kutoka Afrika uliofanyika kwenye Hotel ya Golden Tulip...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA WILAYA KINONDONI,HAPI ATEMBELEA HOSPITALI MWANANYAMALA.

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Salum Hapi alipotembelea katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam leo.Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Salum Hapi akisaini kitabu cha wageni baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAMATTA KAZINI TENA LEO EUROPA LEAGUE na TIMU YAKE KRC Genk ya Ubelgiji

Kwa hisani ya Bin ZubeiryMSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta leo anatarajiwa kuiongoza timu yake, KRC Genk ya Ubelgiji katika mchezo wa kwanza hatua ya mwisho ya mchujo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE. UMMY MWALIMU AMUAGA MWAKILISHI MKAZI WA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA...

Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) anayetarajia kuondoka nchini hivi karibuni Dk. Natalia Kanem (wa pili kutoka kushoto) akimweleza jambo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAONESHO YA BIASHARA YA AFRIKA MASHARIKI 2016 KUFANYIKA ROCK CITY MALL JIJINI...

Makamu Mwenyekiti wa Chemba ya Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo TCCIA mkoani Mwanza, Leopard Lema (wa pili kushoto), akitoa ufafanuzi hii leo Jijini Mwanza kuhusiana na Maonesho ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msimu wa pili wa kambi tiba ya GSM Foundation wafungwa rasmi Iringa, maisha...

Kambi tiba ya GSM iliyokuwa imeingia katika msimu wake wa pili tangu Agosti mosi mwaka huu, imefungwa rasmi mkoani Iringa, huku watoto 37 wakiwa wamefanyiwa upasuaji, na wengine zaidi ya 300 wakipata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Madaktari Bingwa waendelea kuwahudumia wananchi Singida

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew J. Mtigumwe amezindua rasmi huduma tembezi za madaktari bingwa Mkoani Singida, na kuwasihi wananchi Mkoani Singida kujitokeza kwa wingi kupata huduma hizo za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AKABIDHI BAJAJ KWA MLEMAVU THOMAS KONE, 18...

Kaimu Mnyikulu ambaye pia ni Naibu Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akimsalimia  Bw. Thomas Kone (35) akiwa makao makuu ya TBC 1 alikuoitwa kukabidhiwa   Bajaji yake mpya ambayo amezawadiwa na Rais wa...

View Article

INTRODUCING "MISENGENYO" NEW JOINT KUTOKA KWA AT & Peter Msechu

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GP MANGU AWAAGA ASKARI 14 WA KIKOSI MAALUM CHA POLISI (S.F.U)

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akimuuaga PC Prosper Yenda yenda wa kikosi maalum cha Jeshi la Polisi ( S.F.U) ambaye ni miongoni mwa askari 14 wanaokwenda nchini Jordan kwa kozi...

View Article

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVIEHNI

SIMU.TV:  Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Ally Salumu Happy ameagiza kusimamishwa kazi mara moja kwa mganga mfawidhi wa hospitali ya Mwananyamala kwa kupandisha bei ya matibabu kinyume na utaratibu....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AGIZO LA DKT. Kigwangalla Hamisi, NAIBU WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII,...

Leo nimeamua kuchukua uamuzi wa kutoa agizo kali kabisa toka nimeteuliwa. Najua litazua maswali, lakini Kwa kuwa litaokoa maisha ya wanawake wajawazito wa nchi yetu (CEmOC) na wananchi wengine,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya CRDB imekanusha vikali habari kwamba imesimamisha mikopo kutokana na...

Benki ya CRDB  imekanusha vikali habari iliyoandikwa leo Agosti 18, 2016 na  gazeti moja la kiswahili la kila siku na kunukuliwa na baadhi ya mitandao ya kijamii na  kumnukuu kimakosa Mkurugenzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 10

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU, MAJALIWA AKUTANA NA MKURUGENZI WA BENKI YA DUNIA NCHINI.

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Mkurugenzi wa Benki ya Dunia Nchini, Bi. Bella  Bird  kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016.   Waziri Mkuu, Kassim...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

INTRODUCING KITABU CHA UCHAWI NI UTUMWA

Ni  Simulizi  la  ukweli  na  lenye  kufundisha, kutoka  kwa  mwanadada  aitwaye  THEOFLIDA  WA  YESU. Kitabu  kinapatikana   nchi  nzima  kwenye  vibanda  vya  wauza  magazeti  kwa  gharama  ya...

View Article
Browsing all 118708 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>