Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia Nchini, Bi. Bella Bird kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Maajliwa akizungumza na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia Nchini, Bi. Bella Bird, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)